Habari za uhakika kutoka tbc1 live zinasema mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la mwajuma shaaban kiura mkazi wa igunga amekuta jina lake limeorodheshwa katika majina ya watu waliokufa na...
Ikiwa tarehe ya kuanza mchakato wa kumpata mrithi wa kiti cha ubunge wa Igunga kilichoachwa wazi na Rostam Aziz aliyejivua gamba ikitarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa.
Minyukano...
Nikiwa naamini kabisa kuna kundi kubwa la watu hawatapata fursa yao ya kikatiba kupiga kura kwa sababu ambazo Tume ya Uchaguzi NEC wanakijua na wanafanya makusudi kutoliboresha daftari kila mara...
Ni mengi yamekuwa yakitokea kwenye kampenzi za kuwania ubunge wa jimbo hilo dogo la igunga baada ya Rostam kuliachia jana tumeshuhudia mikatano ya kampeni msululu kama magomen mwembechai,usalama...
NASHAURI, kama hatuwezi kuwa na wana JF, kwenye vijiji vyote 98 IGUNGA, basi ikiwezekana kutoka kwenye kata zote 26 za IGUNGA tupate wawakilishi ili kupata update za matokeo, tukajijumlishia...
Mwandishi wa gazeti la Mtanzania, Arodia Peter, ambaye amesafirishwa na kulipiwa na CCM Igunga, ametimuliwa na kutishwa na vijana wa ulinzi wa CCM katika mkutano wa chama hicho ulokua unahutumiwa...
wadau nomeona mnakadili igunga na kusahau kuwa kunakata ishirini na mbili,ambazo nazo zonafanya uchaguzi wa madiwani.naomba kuwatajia ili mfiatilie na huko ni chadema na ccm ndo wameweka wagombea...
Justice should be done and seen to be done in Igunga by election. Bila haki kutendeka na kuonekana ikitendeka jamani tusiwe wanafiki, itakuwa ngumu sana mambo kueleweka. Things won't be the...
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Chadema zimedai kuwa karatasi hizo pamoja na maboksi hayo ya kura yamehifadhiwa nyumbani kwa mkuu wa wilaya hiyo, taarifa ambazo zimekanushwa vikali na kiongozi...
Haya ni maneno ya mwanaJF ambaye amepotea jamvini muda mrefu kwenye wall yake facebook.Kama mnakumbuka mara ya mwisho ni pale alipotoa taarifa za uongo kuhusu Chenge kuvuliwa gamba kwenye kikao...
Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.
Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na...
Ippmedia imetoa picha ya wananchi wa KIJIJI MWAMASHIMBA waliofurika kisawasawa katika mikutano ya CUF na CDM jana, na kwa sababu tumekuwa tukitumia picha kama kielelezo kimoja wapo cha ushindi...
Wadau
naomba kujua hivi ni chombo gani cha habari hapo kesho kitakachorusha live bila chenga uchaguzi wa igunga,kuanzia upigaji kura na matokeo bila upendeleo.
nasikia kule kuna utitiri wa...
CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV.
Peeeeopleeeeeees.............
Katika hali ambayo haikutegemewa upendo wa siasa
umekiama chama cha dem na maendeleo katika kampeni zake
huko igunga baada ya CUF kuongeza nguvu na ccm kuja na plan
mpya ya Piga tatu kwa pamoja(...
Wa Jikoni anatonya kwamba 'e CCM yajaga gete'.
Hawana pa kutokea.
Baadhi ya dondoo muhimu:
Wamama (ambao CCM ndo ina amini ni majuha na mtaji wao) wana msemo wao "Tunakula CCM, tunalala...
Akiongea baada ya kuulizwa na waandishi wa habari mbunge wa ubungo John mnyika amekiri kuwasili kwa vijana hao akidai kuwa wamekuja ili kulinda kura wakiwa katika coaster 10, tunaomba jeshi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.