Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

  • Closed
Dr wilbroad peter slaa ana record nzuri aliyoiacha bungeni kwa kufichua ufisadi, pia ni mpambanaji, jasiri, na ana mtaji wa kura 2200,000/= alizozipata katika uchaguzi wa mwaka 2010 na ndie...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Chama cha Democrasia na Maendeleo chadema kimeanza kupoteza mvuto katika mkoa wa kigoma hii ni kutokana na chama hicho kutokuwa wanaongelea matatizo ya mkoa huo bungeni. Huku wakijikita hasa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Ali-maintain inflation tangu aingie Ikulu mpaka anatoka, 2. Aliwezesha nchi kujenga barabara kwa fedha za ndani, 3. Makusanyo ya kodi yalipanda kwa kasi sana, 4. Heshima ya Serikali ilirudi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
http://blip.tv/mzalendonet/wakristo-wa-tanganyika-walishirikiana-na-wajerumani-kuwaua-waislam-2-5442111
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa maisha tuliyonayo sasa ni vigumu kujitenga na siasa. Kwa maana hiyo basi nimeonelea niingie kwenye siasa kikamilifu. Nataka kuanzisha chama cha siasa. Swali ninalojiuliza je ni chama cha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi sikulitegemea hili kufanywa na kijana yoyote mwenye umri chini ya miaka 40. Ni miaka zaidi ya 50 toka nchi yetu ipate uhuru lakini bado majority ya watanzania tumetopea kwenye lindi la...
0 Reactions
181 Replies
20K Views
Wakuu ndani ya CCM na UVCCM kuna tetesi kwamba mwane mkuu wa kaya, anaweza kupewa nafasi ya kuiliongoza taifa hapo 2015. Mzee Mtikila akitumiwa na mafisadi ameanza kumchafua huyo kijana ili...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
This is the trend of the number of parliamentary seats obtained by CCM in 1995-2010 elections. The data analyzed is from African Elections Database. It looks like CCM votes have remained constant...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati wenzao wankusanya nguvu, wao CHADEMA wanatimuana kwa mambo ambayo yangetatuliwa kwa busara zaidi kuliko kutimuana.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Dr Slaa, kulikuwa na kasumba iliyozoeleka huko nyuma kuwa jimbo likichukuliwa na upinzani, huwa kuna visasi vinavyofanywa na serikali ya chama tawala vya kutotekelezwa kwa mipango ya maendeleo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Uliteuliwa kwa mujibu wa katiba ya chama na ukakubali kuifuata katiba ya chama na Sasa unaona haya kuitetea na kuifuata katiba ya Chama..Dawa yake ni SAWA NA SIAFU WALIOINGIA NDANI YA NYUMBA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chadema ni chama Makini kinachosimamia Kile Wanachokiamini na Maamuzi yake kwa Ujumla..!Vyama vingine bado vinasita kusimamia maamuzi yake hasa Magamba..!Hongera Chadema kwa kusimamia maamuzi ya...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mimi Nahisi haya ndio yanayowagombanisha Ewura Na Depots. LOCAL COSTS PAYABLE TO OTHER AUTHORITIES Wharfage + 18% VAT Destination Inspection Fee SUMATRA Charge Weights & Measures Fee (Tshs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Ni vigumu kuchukua jimbo lillilokuwa linashikiriwa na Chama Kingine 2. Kulikuwa na Ukiukwaji Mkubwa wa Sheria za Uchaguzi 3. Kumefanyika Uchakachua Mkubwa sana,kura za Chadema zimeibiwa 4...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
chama cha mapinduzi kimetoa ratiba ya uchukuaji wa fomu jimbo la igunga ambapo tarehe 9-8-2011 hadi 13-8-2011 itakuwa ni siku ya kuchukua fomu na kurudisha, tarehe 15-8-2011 itakuwa ni siku ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ALIYEKUWA kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paschal Kahangala, amejiengua katika chama hicho na kuanzisha Chama cha Ukombozi na Maendeleo (Chauma). Kahangala ambaye alipata kuwania ubunge...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu mliopo Atown hivi hali ya kisiasa imekaa vipi huko kama kesho kamati kuu ya CHADEMA itaamua kuwafukuza wale madiwani 6 wanaosemekana wamewasaliti Chama? CHADEMA watapona kweli ktk uchaguzi...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Sheria ya kugombea ubunge kuanzia mwaka 2015 irejewe? Kwamba bila qualifications zifuatazo iwe stop? 1. Sharti uwe na shahada moja yoyote 2. Usiwe na uraia wa kuandikishwa? 3. Usiwe na Account...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
moja ya sababu za ccm kudai kujivua gamba ilikuwa ni kutofautisha kazi za kichama na za serikali........lakini kama ilivyo kwa JK, na makamu wake Pinda, Spika na naibu wake raisi wa zanzibar na...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari kwa hisani ya www.novakambota.com Ikiwa ni siku moja tangu tovuti iripoti juu ya madai ya Mrisho Gambo ktukanwa na mmoja wa madiwani wa Monduli aitwaye Isaack Caprion, juhudi za tovuti hii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom