Kwa vyovyote hiki kitakuwa kiburi tu, mtoto akianza kudharau wazazi mwisho wake unakuwa mbaya.
Kitendo cha serikali kuwakaanga wananchi waliowapa kura kwa kupandisha gharama ya mafuta ya taa ni...
Dear CDM chairman and secretary!
I am moved with your strategy to cause hard time to CCM!!
I was a ccm fun for the past twenty years but now I am starting to re-think about my future with this...
MKOA UNAAONGOZWA NA MAGAMBA KWA MAJIMBO YOTE SASA UTAINGIA MIKONONI MWA CHADEMA HASA BAADA YA WANANCHI WA WILAYA HII KUAPA KUIDHALILISHA CCM KWA KUMFANYA VIBAYA MBUNGE WAO ROSTAM AZIZ ALIYEKUWA...
Ndugu yangu Nape! nimefurahi sana kukuona ndani ya JF ukijibu hoja mbali mbali humu, ingawa sina uhakika 100% kama ni wewe maana wajanja wengi wanaweza wakagushi ID na kujifanya ndio wewe. Kama...
Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa Karibu sana Pamoja na Njama za Serikali kuanzisha Mgao wa Umeme ili Tusione Minyukano mikali inayoendelea katika Bunge hili lililojaa Changamoto Mbalimbali ( Mpaka...
Written by zenjiboy // 12/07/2011 // Habari // 3 Comments
Na Juma Mohammed,
MAELEZO Zanzibar
Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Zanzibar, Mh. Mansoor Yussuf Himid amesema mfumo wa muundo wa...
Kinachotokea kwa hivi sasa bungeni ni dalili za wazi za CCM kuaga uongozi wa Taifa hili. Kwanza kabisa wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufanya kazi yao ya kuisimamia serikali na badala yake...
Kuna mambo ambayo lazima yawekwe wazi ili kutofautisha kati siasa ,uongozi, uwakilishi.hii ni kwasababu siku zote siasa haziwezi kuongoza uchumi wala sayansi,kwani siasa ni utaratibu wa mfumo...
Katika hali ya kushangaza, bunge la leo kwa vipindi vyote viwili asubuhi na jioni limeisha uku likiacha wabunge wananungunika: hoja zimetolewa-wabunge wakaomba mwongozo wa spika pamoja na...
Habari za jioni wakuu
Kwa muda sasa nimekuwa nikipitia pitia thread katika jukwaa hili na kwa kusema ukweli, mengi yasemwayo yanaumiza saaana.
Yapata miaka 50 sasa tokea tupate uhuru. Serikali...
Askofu wa Kanisa la Blessing Alter lililopo mkoani Arusha, Isaya Sizya, amesema anashangazwa na hatua ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kukataa mwafaka uliofikiwa hivi karibuni na kuondoa...
Namuangalia mama yangu aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi, yupo kitandani anaumwa, hana uwezo wa kujitibu. Ukweli ni kwamba tunasubiri siku yake tumzike, matibabu yake mpaka nje ya nchi na yeye...
Ni yeye pekee mwenye uchungu wa kweli na umasikini wa Watanzania.
Ni yeye pekee mwenye kuyaelewa matatizo na umasikini wetu unasababishwa na nini.
Ni yeye pekee asiye na urafiki na wala rushwa...
Kuna kila sababu ya kujiuliza sababu kubwa ya kuongezeka kwa idadi kubwa sana ya wazee kwenye vyama vya upinzani ni kubwa inakaribia kuwazidi vijana ambao inasemekana kuwa vyama vya upinzani ni...
Jamani naombeni mnisadie kujua kuwa mbunge wa jimbo la Rorya, Mh. Lameck Okambo Airo (CCM) yuko bungeni Dodoma au yuko wapi? Na kama yuko bungeni anafanya nini kwani hajaongea hata siku moja pale...
Wakati Dr Slaa anaibua hoja za Richmond na EPA bungeni Dodoma aliitwa mwongo na mara kadhaa Spika wa Bunge alimwambia afute kauli yake. Sisi wote ni mashahidi. Lakini baada ya ukweli kugundulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.