I was privileged to watch Honourable Didas Masaburi, His Worship the Mayor of Dar es Salaam, firing a salvo with a lot of gusto, at some Members of Parliament who blew the whistle on the UDA...
Habari vipi wandugu? Ndugu zangu wana JF naomba kuwaulizeni kuwa wewe umelisaidia vipi taifa lako? Mkoa wako? Wilaya/jimbo lako? Tarafa yako? Kata yako? Mtaa/kijiji chako? Au mnaishia tu kuandika...
Kazi ya msanii ni kuburudisha na kufundisha. Hivi tukiwaangalia wasanii wetu wanayatimiza vipi mambo haya mawili na mhimu? Ukiachilia Mpoto, Wagosi wa kaya, Mr. 2, Roma (huyu anatisha kwa maana...
Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amepinga vikali utafiti uliofanywa na Synovate na kuonyesha vyama vya upinzani vikiongozwa na Chadena wanaungwa mkono zaidi dhidi ya CCM.
Ifuatayo ni sehemu ya...
Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni
By Beatus Kagashe, Iringa
MGOMBEA wa urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema , Dk Willibrod Slaa mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete kuwaeleza...
Kufuatia uamuzi wa chadema kumwandikia barua ya onyo Mbunge wa Maswa Mashariki John Shibuda pia mkumtishia kumvua uanachama mbunge huyo, ndani ya wiki hii kumekua na mzagao wa maneno kwamba...
I have keenly followed the debates in the house, among other things, the question on union between Tanganyika and Zanzibar, both sovereign countries. While I despise those questioning the motives...
natamani siku moja hawa watu wakutanishwe uso kwa uso ili kila mmoja ajibu hoja na shutuma kibao ambazo wamekuwa wakitupiana kwenye majukwaa ya siasa huku kila mmoja akimshambulia mwenzie. pia...
Napenda kutoa kilio changu kwa waziri wa Ofisi ya Rais, Menejiment ya utumishi wa Uma, juu ya mambo wanayotendewa watumishi walioko katika Halmashauri za wilaya. Huwa sipendi kuropoka na nalisema...
Yahaha kulibakisha jimbo
na Tamali Vullu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amemwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Lewis Makame, kumjulisha juu ya kuwa...
Mjumbe wa Barala la Utekelezaji la UVCCM, Hussein Bashe amekiri waziwazi kuwa CCM isipokuwa makini uchaguzi wa mwaka 2015 ukimalizika, utakiacha kikiwa chama cha upinzani na si chama tawala...
Baada ya aliye kuwa mbunge wa Igunga, bwana Rostam Aziz kujiuzulu nafasi hiyo je ni wagombea wapi ambao wanaweza kupitishwa na vyama vyao kugombea huko? Tetesi nilizo sikia ni kwamba RA...
Nimepata habari from a very reliable source kuwa sita na mwandosya wamekubaliana sitta agombee urais akae miaka mitano amwachie mwandosya ambaye atakuwa waziri mkuu. nimedokezwa kuwa JK...
Kilichofanyika Mbeya ni kuzindua kampeni ya kundi la Sitta kwa ajili ya Urais! Shuhudia Minyukano itakayofuata! Kama kuna mtu anadhani CCM imetulia asubiri, its not over yet.
jana nimemsikiliza akiongea kuhusu jeshi letu,
mbona huyu mama anaongea kama mtu mwenye mamlaka?
mbona wee mzee wa mishen town usimpe uwaziri huyu mama?
mama lakini mbona unazeeka haraka?
take it...
Uchaguzi wa Tanzania hasa kwa wapinzani hauminiki.
1995 Mrema alikuwa ni mmoja wa viongozi waliotikisa ccm. alipata kura nyingi kuliko mgombea mwengine wa Upinzani. hadi leo record yake...
Nawashangaa sana mtu ambaye ni Kijana,mwenye kujua dunia ipo vipi leo ulimwengu wa ICT, ukawa ni mwanachama wa CCM!. Haiwezekana! ni aibu. siwezi kushanga saana maana pia wapo wanaoabudu shetani...
Kujiuzulu kwa RA, kumesababisha niwaze jambo hili. Endapo chama chochote kitapungukiwa na wabunge wake ama kwa kujiuzuru, kufukuzwa n.k. Ni nini uwiano wa viti maalu? Je, viti maalum vitapunguzwa...
Hayo yote tunayoendelea kuyashuhudia ni kutokana na moto mkali uliowashwa na CDM. Tunaweza kusema hivi kama sio Chadema je Lowasa angejuzulu? kama sio CDM CCM wangejivua Gamba? katiba kusitishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.