Na Restuta James
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imependekeza kuundwa kwa serikali tatu; ya Muungano, Tanganyika na Zanzibar, ili kuondoa hisia za upande mmoja wa Muungano kunyonywa pamoja na...
Je kama Mungu akikujalia uzima na afya tele Novemba 2015 atakapo apishwa raisi mpya utajisikiaje? Je uta huzunika JK kuondoka? Je utafurahia yoyote yule kuingia ikulu ilimradi tu JK anaondoka? Au...
Naona simsikii sana siku hizi huyu mbunge wa zamani wa karatu. Yupo?
Ana mpango wa kugombea tena urais au atarudi karatu kuendelea na shughuli ya ubunge?
Mara nyingi tumewasikia viongozi wa CHADEMA wakisema kuwa wanakijenga chama na kukiandaa kushika dola baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa 2015, lakini hawasikiki wakielezea kwa msisitizo ulio sawa...
Leo Bajeti ya Ofisi ya Rais, imepita! Hata hivyo ilikuwa wazi kwamba ingepita. Ni kupoteza fedha za walipakodi kujadili "Ndiyo". Mnyika,Lisu na wengine wamejitahidi kuondoa Shilingi, kwa hoja...
Kama mtanzania, ninapitia bajeti ya serikali yetu na ninaona ina mapungufu mengi na ya msingi, nashangaa kuona wabunge 81 tu ndio walioweza kuona mapungufu hayo na kuipinga, wabunge 234...
Wanajamii Forums,
Natumaini hamjambo. Nilikuwa napitia Kanuni za ku operationalize Sheria ya Gharama za Uchaguzi, ( Elections Expenses Act, 2010), No. 4 of 2010 REGULATIONS, (made under section...
Kwa mwenendo huu wa bunge naona ndio mwisho wa CCM.
Chanzo kikuu cha CCM kutofanya vizuri 2010 kinaanzia kwenye bunge la 2007 wakati wa hoja ya Zitto kuhusus mkataba wa Buzwagi kusainiwa London...
WanaJF Wasalaam,
Baada ya kimya kirefu na kufuatilia mijadala ya bunge letu, maoni ya wanajf na wadau wengine wa siasa leo nimelazimika kuja na hii hoja ambayo kimsingi nahitaji kuona michango...
Hatimaye Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamshi Vuai Nahodha ambaye amekuwa akiishi hotelini kwa miezi nane sasa atahamia kwenye nyumba yake kuanzia wiki ijayo, NIPASHE Jumapili imebaini...
kutokana na vipindi viwil kushikiliwa na ma rais kutoka bara imesababisha kukutetereka kwa muungano wetu sasa kipindi kijacho iwe zamu ya znz ili kuimarisha muungano na iendane na kutamkwa na...
Kwanza kabisa Viongozi wa kijadi na kieneo walioongoza mapambano
dhidi ya Wakoloni;
Kinjeketile Ngwale, Watemi Chabruma, Songea, Mirambo,Isike ,Mkwawa, Kimweri
Mbega, Sina Meli Mandara...
Naandika nikiwa na furaha!!!! kivipi? kwani hakika anguko kubwa la chama cha Magamba limekaribia sitaki kuwa shehe Yahaya (the late RIP) lakini ni mambo yanayo onekana kwa uwazi kabisa (Black and...
Kuna viongozi walikuwepo Washington DC kutoka serikali ya JK kuomba Tanzania itolewe kwenye Black List ya madini ya USA. Congress iliweka hii list kwasababu madini mengi ya Diamond kutoka Congo...
Monday, 20 June 2011 19:22 newsroom
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
SAKATA la Meya wa Jiji la Arusha, limefikia tamati baada ya CHADEMA kutangaza kumtambua rasmi Meya wa Jiji hilo, Gaudance Lyimo...
Kwa miaka takribani 47 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna malalamiko mengi juu ya muungano wenyewe ingawa wana ccm wenyewe wanakaa kwamba hakuna matatizo. Swali langu ni, kati ya...
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, amesema ameanza kupokea ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa wananchi wakieleza kutoridhishwa na mwenendo wa Bunge hilo. Akitoa matangazo mara baada ya kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.