Ni hari ya kusikitisha sana hasa kiuchumi nchi inavyoaanza kuchumia tumbo baada ya kuwekeza kwenye kuindeleza. Huu ni uchumia tumbo kabisa hasa unaopoona budget ya 2011/2012 ya 11.9 tr/- out of...
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Salma Kikwete, amesema ushindi wa Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hauna dosari kama baadhi ya vyama vya siasa vinavyotangaza.
Alitoa...
Naomba nisipewe jina la Shekhe Yahya au Pweza Paul,kwa vyovyote vile kwa mwenendo jinsi ulivyo kwa sasa, CCM wanawinda chini ya siasa za maji taka. Kila kundi linajipanga kwa 2015, Je CCM...
Katika gazeti la Mwananchii la leo (uk.2) kuna taarifa kutoka Makete, Iringa, kuwa watumishi watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete wamesimamishwa kazi kwa sababu ya tuhuma ya kujihusisha na...
Tumegundua uongo, rushwa, kujikweza, ulevi, ubaguzi wa udini na sasa tunauona ubaguzi wenu wa ukabila. Credibility hamna hata mkitumia vyombo na fedha kiasi gani za wananchi, Taifa limeshawageuka...
Wana JF naxchukua fursa hii kuwakumbusha uongozi wa uadilifu wa Dr. Lyatonga Mrema katika kamati ya serikali za mitaa kwa namna anavyotekeleza majukumu yakeb tofauti na watangulizi wake katika...
Wakati Serikali ikijua kuwa mwaka huu ilijipanga kusherehekea miaka 50 ya uhuru kwa kishindo, maandalizi hayo hayakuwekwa kwenye bajeti inayoishia mwezi juni 2011. Cha kusikitisha, wakati Bunge...
Ukweli siku zote unabakia ukweli, Kikwete nchi imeshamshinda ila anaona aibu kuachia ngazi kuwa ataonekana Kilaza wakati ni kilaza na anazidi kuiharibu nchi yetu. Nchi imekubwa na Matukio juu ya...
JE ZANZIBAR SIO NCHI..........?
JE BADO TU MUTASEMA KAMA ZAZNIBAR SIO NCHI NI MKOA WA PWANI..?
KAMA SIO NCHI HIZI PESA ZILITOKEYA WAPI..?
KAMA HUAMINI HUTA AMINI TENA
STAP ZA POST...
- Wasomi wataka maelezo ya serikali
- Wapinga masharti ya baadhi ya vifungu
Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, amepatwa na wakati mgumu kujibu maswali ya wasomi na wanazuoni wa chuo...
Kwa maoni yangu, hali ya muungano inaendelea kuwa mbaya. Wanaosema muungano ni imara ni viongozi tena wa chama fulani. Chuki ya wananchi wa pande hizi mbili inaendelea kukua. Sasa kwa mwenendo huo...
Zanzibar Daima
Mtazamo wa Mzanzibari kwa Nchi yake
« Balozi Seif Iddi na Waziri Nahodha jibuni hoja hizi za Uamsho
Mkakati wa kuirejesha Zanzibar kwenye neema »
Ya Pwani Mchangani ni...
Ndugu zanguni,katika mafundisho yangu ya dini nimefundishwa kuwa Uongozi wowote ule unatoka kwa Mungu,..Na sio kwa SHETANI hata kama umeingia kwa RUshwa...Lakini mwenyezi Mungu anaacha ata ule...
PIUS KATUNZI: Kikwete's victory leaves foul taste in the mouth
Sunday, 07 November 2010
President Jakaya Mrisho Kikwete has survived the repudiation of his countrymen, but, in a way, he...
Miaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
Written by Nassor20 // 25/05/2011 // Habari // No comments
May 9, 2011 by zanzibardaima
Muasisi wa Muungano, Julius Kambarage Nyerere
Hakuna woga katika kulizungumza suala la kuvunja...
Ripoti Ya Mjadala Wa Kuadhimisha Miaka 47 Ya Muungano Wa Tanganyika Na Zanzibar
(Froud Community Centre Uk)
(Umetayarishwa na Jumuiya ya Zanzibar Welfare Association ZAWA)
23 April, 2011...
Uchaguzi wa 1995 Bulj alimngoa baba kimbao alietawala zaidi ya miak 20 kisiwa cha Mafia na kukiweka ktk hali maskini ya kutupwa. Tulidhani tumejikomboa kumpa Bulj. Kumbe amezidisha matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.