Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu. Kwanza compare na...
0 Reactions
155 Replies
18K Views
Kwa wale walioliona gazeti la mwanahalisi leo kuna kijana mdogo hajavaa hata viatu amebeba bango limeandikwa kama kilivyo kichwa cha habari. kwa mtu wa kawaida utacheka basi. ila mimi naona...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani hakuna wizara ninayoichukia kama ni nishati, mambo yake hayaeleweki, kwa kumbumbuku nilizonazo hatuna umeme wa uhakika tangu octoba 2011 hivi ni uzembe wa wizara au tanesco. niko njia panda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
http://www.blip.tv/file/4994905 Maalim Ally Bassaleh akizungumza na Waislam mara baada ya Sala ya Ijumaa leo ktk msikiti wake wa Idrissa jijini Dar es Salaam
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Yes hii ndio Tanzania tuliyoitaka, changamoto pande zote, mifumko ya bei, ugumu wa maisha, unaochangiwa pia na ungezeko la bei la hata huduma za jamii kama matibabu, maji, umeme ambao hata hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini kamanda Lema siku ya leo amechangisha zaidi ya sh 21 ml, kwaajili ya ukarabati wa shule za jiji hilo, huku yeye kama yeye akitoa kiasi cha sh ml 1.8. Akitoa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Juzi ktk mkutano wa hadhara na wananchi wa mbeya, mwenyekiti ndg Freeman Mbowe alisikika akisema "moto waliouwasha hautazimika mpaka kieleweke", this means vyama vingine visitarajie anguko lolote...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania na wale wote wenye kuitakia mema Tanzania, nawasalimu, Nimeona ni bora kuliweka hili wazi kwa kila Mtanzania ili ajue ni kitu gani kinaendelea. Baada ya uchaguzi mkuu wa...
2 Reactions
71 Replies
6K Views
Hivi karibuni tumeshuhudia chaguzi zilojaa utata ivory coast ,Nigeria,Uganda,hapa nyumbani Tanzania na Kenya mwaka 2007:-Kumekuwepo tuhuma za kuchakua matokeo. Tuhuma ambazo zimesabashi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa Tanzania na kugundua kuwa japo muungano ni mzuri na wa kudumishwa kwa nguvu zote una mapungufu. Mapungufu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
... Akizungumzia vurugu hizo, Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan, alisema waliofanya vurugu hizo ni wahuni. Alisema kikundi hicho cha wahuni kilikwenda katika...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Tangu sheikh yahaya ajipambanue kwa watanzania kuwa yeye ndiyo mchawi na mlinzi mkuu wa kikwete kwa kutumia majini, si kikwete wala makamba wala kinana wala riziwani wala salma kikwete...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
haya ni machale yangu binafsi yanayonicheza kuwa huyu mama anajipanga,..ndio home sweet home lakini hivi vitrip vyake lately sio bure halafu ****** body language yake pembeni ni kama...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hodi hapa barazani, salaam! Hoja ya haja, Kwakua wakati wa uteuzi wa spika walitumia kigezo cha jinsia ili kuwaengua baadhi ya watu (Samuel Sitta mathalani) kutoka kwenye kinyang’anyiro cha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MKUTANO mkuu wa kuwachagua viongozi wa ngazi za juu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) unatarajia kufanyika mwishoni mwa Aprili, mwaka huu. BAVICHA haina uongozi...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
KATIKA historia ya uchaguzi wa vyama vingi mkoani Kigoma, Oktoba mwaka jana NCCR-Mageuzi imeandika historia kwa kutumia mtaji wa wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuibuka...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Bamuturaki Musinguzi Source; GhanaNation.COM Nairobi — The course of the 47-year existence of the United Republic of Tanzania has been anything but smooth. From Zanzibar Nationalism, the...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Katika hali isiyo tarajiwa wananchi na wakazi wa BUSANDA wameanza kujuta kwa kumchagua mbunge wa BUSANDA kwa Ticket ya CCM,bi Lolensia Bukwimba. Maana tangu achaguliwe hajakanyanga tena Busanda...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Katika mjadala wa muswada wa katiba uliofanyika Zanzibar,wazanzibar waliojitokeza katika mjadala huo sio tu waliupinga muswada huo,bali walisikika wakiukataa na muungano pia.Katika fikra zao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Marando afyatua kombora Jangwani Alipotakiwa kufafanua walikiukaje maadili hayo Mhando alisema: "Walikuwa hawazungumzi sera bali walikuwa wanatukana. Kama ulikuwa unafuatilia matangazo yetu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom