CCM wanajipanga kuwanasa vijana na kuwarudishia iman iliyopotea. Wanajisafisha na kuendelea kujipanga. SWALI, "VIJANA GANI WANAKAMATWA"? Ambao wana haja ya kuendelea kufanywa watoto?. Days are...
CCM Mbeya Mjini yajipanga kukomboa jimbo 2015
Imeandikwa na Na Joachim Nyambo, Mbeya; Tarehe: 8th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 80; Jumla ya maoni: 0...
Hali zenu wanajamii!!!
Mwenzenu nina mdogo wangu kamaliza Chuo kikuu cha Dar Es Salaam mambo ya biashara. Miaka mitatu sasa anatembea kutafuta kazi hajapata hata kama ana first class...
TANZANIA tumeanza kushindanisha watu kwenye kugombea urais tokea mwaka 1995. Kwa lugha nyingine ni katika chaguzi kuu nne (1995, 2000, 2005 na 2010) ambapo tumeshuhudia nchini mwetu mtu...
Kinachoonekana kwa sasa CCM nivikumbo kama mtu anavyokuwa anapita kwenye msongamano wawatu wengi akiwa ameitwa mbele jinsi anavyokuwa anapangua watu ili akaitike wito!!Mzee mengi Kauli yake ya...
Inaonekana CHADEMA wamejipanga vema kukabiliana na mbinu chafu za CCM, ile turufu yao ya kusema CHADEMA ni chama kinachoongozwa na kanisa itakufa pale watakaposimamisha mgombea mwisilamu na kwa...
Kutokana na chadema kukubalika kwa sehemu kubwa ya nchi hii hasa upande wa bara kwa mikoa ya kaskazini ,kanda ya ziwa ,Magharibi(Kigoma) na kwa kiasi flani nyanda za juu ni vizuri zaidi kwa sasa...
Suala la Zanzibar kujiunga na Jumuiya ya Kiislamu ya Kimataifa (OIC) limefufuka upya, baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kutakiwa kutoa msimamo wake kwa kuwa Serikali ya Muungano...
mbunge wa chama cha chadema jimbo la ilemela mwanza ameanza kutimiza ahadi alizotoa kwa wapiga kura wake kwa kutoa gari la kukbebea wagonjwa hongera sana mbuge mungu ibariki tanzania mungu ibariki...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana ziara za kutembelea wizara mbalimbali zinazofanywa na mhe rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Nitakuwa mnafiki,mzandiki na mpinga maendeleo endapo nitachelea...
Serikali ya JK imepoteza mwelekeo-Lipumba
Na Benedict Kaguo, Tandahimba
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Serikali ya Rais Jakaya imepoteza...
Ni jambo la kusikitisha, toka kuanza kwa vyama vingi, hapajakuwako na chama chochote cha siasa kilichopendekeza mgombeya Uraisi wa Jamhuri ya Muungano, kutoka visiwani! Hii inatowa taswira gani...
Ms. Beatrice Kiraso, EAC's Deputy Secretary- General in charge of Political Federation
With more than 150 political parties registered in the five partner states, the East African Community...
Re: Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu ni tusi?Ndugu zangu, nimechelwa sana kujibu tuhuma dhidi yangu kwani ni mimi Dickson Amos Ng'hily ndo nilituhumiwa kumtukana Rais Kikwete....Nway...
Kwa takribani mwezi mmoja sasa, tumekuwa tukisikia kuwa kambi ya mmoja kati ya wanaowania kugombea Urais mwaka 2015 imesambaratika. Habari hizo zinadai kuwa mgombea huyo ambaye anaonekana kuwa na...
Kutokana na hali ya matokeo mpaka sasa ya UBUNGE nadiriki kutamka kuwa Dr. Slaa anastahili kuitwa SHUJAA wa KARNE HII YA 21.
Amechangia sana kwa ushindi wa majimbo ya ubunge ambayo CHADEMA...
Juzi nilibahatika kusikiliza radio moja ya kidini, Radio Imaani, watangazaji waliokuwa studio, walinukuu gazeti moja li kiislam, likihoji suala la DOWANS ni mmliki au kanzu yake.
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.