Dah! Sio siri, niliisahau kabisa hii forum baada ya kuzani uchaguzi mkuu umeshaisha!!!! Anyway, bado nina kumbukumbu kwamba humu jamvini watu hatuna uvumilivu wa kuona maoni yanayotofautiana na...
Ndugu wana jamii wenzangu, jana wakati Chadema wanatoka Bungeni kupinga mabadiliko ya kanuni kuhusu tafsiri ya neno KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI wabunge wengine waliwazomea, kwa mimi nilisikia...
Mimi ni mzaliwa wa Mwanza, kutokana na mgawanyiko wa Majimbo ya uchaguzi, naweza kusema nimezaliwa katika Jimbo la Ilemela.
Wakati wa Kampeni za Uchaguzi habari nyingi kutoka Mwanza zilikuwa juu...
Hatimaye maadui wawili wamepangwa kamati moja ya bunge ya fedha na uchumi. Nina wasiwasi HAMAD RASHID kwa uzoefu wake bungeni atam-buruza mhe. mbowe katika maamuzi.
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.
Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).
Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu...
Hali ya afya ya Mfalme Abdullah ibn Abdulazizi wa Saudi Arabia imeripotiwa kuzorota zaidi kutokana na juhudi zake za kuzuia kutimuliwa madarakani dikteta wa zamani wa Misri Husni Mubarak.
Duru...
Kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu serikalini, zenye kuashiria kwamba serikali ilikuwa tayari kuilipa Dawans, zimetafsiriwa na wadadisi wengi wa habari kuwa...
Written by amini // 12/02/2011 // Habari // No comments
Serikali ya Uswisi imetangaza kutaifisha mali zote za Dikteta Hosni Mubarak,ambaye jioni hii amengolewa madarakani na nguvu ya...
Kuna kila dalili kuwa huyu mama atashindwa kulimudu bunge la kumi. Anaendekeza sana itikadi za vyama kuliko ukweli. Kwa mtu yeyote mwenye jimbo lake hata kama angekuwa yeye ndiyo mbunge wa arusha...
Jamani tunaomba wabunge wa CDM wawe makini sana. Wenzao wa CCM, CUF, TLP na NCCR wamezama na kubobea kwenye siasa kwa muda mrefu. Nina wasiwasi kuwa badala ya kujijenga kwenye bunge hili ili...
Jana niliweza kufuatilia mjadala uliokuwa unaendelea bungeni, kimsingi Nidhamu iliyokuwa ikionyeshwa na baadhi ya wabunge na lugha ambazo walikuwa wanazitoa kwangu mimi zimenivunja moyo sana...
Madiwani Arusha kuanza vikao kwa mvutano
Na Omari Moyo, Arusha
KIKAO kwanza cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kinaanza tayari kuunda Kamati za kudumu za halmashauri...
Sakata la Dowans bado linaendelea, Watanzania kama kawaida yetu ya kuingizwa mkenge na kushikia bango kiasi cha kuamini mambo bila kuwa na uhakika na undani wa jambo husika bado tunajitahidi...
Pamoja na Bw. Mapesa kueleweka kwa utendaji mbovu wa kutetea serikali ya kifisadi ya CCM na kuzima hoja za kimsingi alipokuwa mwenyekiti wa kamati za usimamizi wa mapesa yetu yanayohujumiwa na...
5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha Bwana.
6. Maana atakuwa kama fukara nyikani, Hataona yatakapotokea...
Nimewasikiliza hawa wabunge jana wakiongea kama wabunge wa CCM. Hamadi Rashid anasema eti Spika ametupatia ushauri mzuri wabunge wa upinzani. Cheyo naye anasema eti siasa za nchi isitawalike. Sasa...
Katika kuelekea uchaguzi wa October 31, Uwezo wa DR slaa kuimiri mikiki mikiki ya kampeni inapungua hii ni baada ya kukatisha kampeni zake JANa (23/09/2010) kurudi Dar kwa mapunziko
Magazeti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.