Pinda amweka kiti moto Mwema sakata la Arusha
Monday, 10 January 2011 21:39
Mwandishi Wetu
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati vurugu zilizotokea...
I speak with anger mixed with bitterness. I was not born yesterday, so at least I know some thing. i qualify to speak on this as a Christian, so devoted to my faith that I have learned to be a...
Ndugu zangu kutokana na kumbukumbu zangu leo ni siku ya kesi ya viongozi wetu huko Arusha,kwa taarifa niliyonayo watu wengi hivi sasa wanaelekea mahakamani kusikiliza mashitaka ya viongozi wetu...
mgombea ubunge katika jimbo la maswa magharibi (chadema), john shibuda, amemtaka mgombea urais kupitia ccm, rais jakaya kikwete, kuachana na harakati za kuwania nafasi hiyo na badala yake ampigie...
Kama polisi hawana utu mie napendekeza tupandikize mbegu ya chuki miongoni mwa jamii tuwatenge , tuwafukuze kwenye nyumba zetu walizopanga , maana wameuwa arusha na jana wameuwa Mbalali
Jamani ilikuwa ukifika maeneo ya nyegezi mwanza ilikuwa inakera sana kuona msururu wa mabango ya masha yakiomba kura kibubububu.. Je, bado yapo mitaani? Au anaona aibu kuyaondoa?????
Wadau, hebu mwenye data zaidi aweza kuzimwaga, maana nimekutana na hii taarifa, je, ina ukweli wowote wandugu?
Ni haramu kuilipa kihalali kampuni haramu!
La Dowans ladhihirisha namna Tanzania...
Inasemekana kutoolewana kwa wabunge wawili (CCM) wa jiji la Mwanza kumechangia kwa kiasi fulani kushindwa kwao. Nasikia mmoja alimwaga mboga, na mwingine akamwaga ugali.
Nyepesi zinasema...
DHANA YA KWAMBA URAIS NI RAHISI NI KUWATANIA WATANZANIA!
Wapinzani wakiongozwa na Chadema wanachotaka ni Urais basi!
Tena Urais wa kipindi kimoja tu cha miaka mitano!
Halafu wawapishe wenyewe...
FemAct yataka meya Arusha ajiuzulu
Na Gladness Mboma
SERIKALI imetakiwa kuufuta uchaguzi wa Meya Arusha na kuitisha uchaguzi mwingine huru ili wananchi wachague meya mwingine...
Mimi si Sheikh YAHYA HUSSEIN au NOSTRADAMUS. Ila ninatabiri kuwa CHADEMA itaishiwa pumzi na kufifia(kama lilivyofifia gazeti la Mwanahalisi) mwaka 2012 na hivyo kuipa nguvu zaidi CCM kupata nguvu...
FOR IMMEDIATE RELEASE (to be published in its entirety)
9
th January, 2011
DAR ES SALAAM
The Tanganyika Law Society (TLS) is the National Bar Association for mainland
Tanzania...
Ngoma CCM, CHADEMA Arusha bado mbichi
*Mbunge kutoka Tanga ashiriki tena uchaguzi
*CHADEMA waususia, wasema hawashiriki uhuni
Na Glory Mhiliwa, Arusha
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Tanga...
wakuu,
kutokana na jinsi uchaguzi 2010 ulivyopelekea kutokea kwa matukio ya arusha; ambayo pia yanaakisi hali halisi ya yanayojiri nchini tanzania; ninayo heshima kupendekeza kuanzishwa kwa...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi na kufanikiwa kuongoza Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.
Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini, Clement Kwayu, ndiye...
Ni dhahiri kwamba serikali imesabaisha fujo na mauaji ya watu wasio na hatia huko Arusha, wanasheria wa CHADEMA tunawaomba wawasilishe mashataka mahakamani ili wote walio sababisha yote haya...
Kitendo kilichojitokeza katika jiji la Arusha kuchafuka kutokana na vurugu za kisiasa kati ya wananchi na polisi yote haya ni kulazimisha ushindi usiokubalika na wananchi wa leo Tanzania kutokana...
Wakubwa,
Nimeona ni bora nianzishe thread maalumu kwa ajili ya namba za simu za CHADEMA ili kila mwenye mapenzi mema nao awajulishe kama si kwa kupiga basi walau kuwatumia message tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.