Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mi nilikuwa nafikiria kuwa mtaji mkubwa kwa chadema/nccr/cuf/tlp kushinda uchaguzi mkuu 2015 ni kuanza kuwaandaa watoto wa shule za sekondari za kata kwa ajili ya kuwaandaa kisaikolojia kutafuta...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Muda huu kupitia Redio Clouds Redio Clouds RPC wa Arusha Andengenye anatangaza kuwa Mkutano uliopangwa kufanywa na CDM Arusha si halali maana walitoa taarifa jana saa 4 asubuhi, na yanatakiwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Monday, 27 December 2010 Anthony Kayanda, Kigoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Tamisemi), George Mkuchika, amepewa siku saba kuhakikisha anaitisha uchaguzi wa kumchagua Meya wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wana jf wkt ccj kinazinduliwa walisema ni cha vigogo wa ccm sasa imekuwaje maana sizioni harakati zozote za kukitangaza na kuomba upya usajili kwa masili wa vyama?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mfano mbunge wa tarime kapanga na makazi yake yako dar es salaam je inakuaje muda wake wote ameishi dar alafu apate ubunge tarime, ni kitu gani huwa kinatokea kwa wananchi wanao amua kumpa kura...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Tanzania, aka mtoto wa mkulima huko Sumbawanga alipokuwa analiomba radhi kanisa kuhusu kashfa ya udhalilishaji wa imani, ametamka wazi kuwa kugawa kanga kipindi cha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Like many other fellow citizens,I received a string of sms on my mobile in the last week of the ended campaign, such as follows; 1)."Slaa ni mropokaji na mgomvi anatukana vyombo vya ulinzi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatujachagua meya Arusha - CHADEMA na Halfani Lihundi, Arusha CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani katika hali ya kushangaza leo nimeota ndoto dr slaa kawa rais 2015 afu kamteua rev mtikila kuwa waziri mkuu, afu mwakyembe waziri wa sheria, magufuli waziri wa maadili na utawala bora...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Njaa mbaya kilichotokea jana uwanja wa Taifa wakati mechi ya fainali kati ya Tanganyika na Ivory Coast kinachekesha au CCM iliamua kututhibitishia kivitendo kwamba they mean bussiness. Kituko...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Moshi Urban MP accused of election graft From PETER TEMBA in Moshi, 30th December 2010 @ 16:00 , Total hits: 119...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
ccm inatupatia hasara sana kwenye taifa letu kwa sababu bilion 2 ni pesa ambazo zingeweza saidia wananchi hata kwa kuwajengea zahanati au mashule lakini hizo pesa zinapewa mahakama kuu kuendeshea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gazeti la mwananchi la leo linatupasha habari ya kuwa ushauri wa jaji Mkuu ambaye sasa ni mstaafu juu ya haki ya kuhoji Mahakama Kuu kuhusu matokeo ya kura ya uraisi yaliyotangazwa na NEC...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika uchaguzi mkuu uliopita kura yangu niliigawa kama ifuatavyo: Kura ya urais nilimpa mgombea wa CUF, Ibrahimu Lipumba kwa kuwa ninaamini ni bora kuliko wote. Kwa upande wa Ubunge nilimpa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hili serikali iweze kuongoza vizuri inahitaji kuwa na wengi wa raia wake nyuma yake. Hivi sasa kila kona ya nchi hii kunasikika vilio vingi vikiilalamikia serikali iliyoko madarakani na chama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wananchi Tusome Hii Article Kutoka AP. Tunaona Hawa Makada wa CCM Huku Jamii Forum Wanajitahidi Sana Kutetea Madhambi na Maafa ya CCM Tanzania. Ukweli Kama Tulivyojua Tangu Zamani JK na CCM...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waumini RC Rukwa 'wakiri' kukashifu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tusome Hii article Hapo Chini Kutoka AP. Ukisoma Hizi Habari Kila Leo Matatizo ya Umeme Tanzania Utakuta Uongo na Majibu Yasioeleweka. Leo Hii Tanzania Sehemu Nyingi Hakuna Umeme na Asilimia Zaidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tofauti ya kura 1% yamliza Seif Na Mwajuma Juma, Zanzibar KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho kukaa chini na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom