SOURCE: ITV leo taarifa yahabari ya saa mbili usiku..........
Yaani nilichoona kimenishtua sana..........................waangalizi hawa hivi walikuwa nchi gani vile?
Wamedai yafuatayo:-
a)...
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya viongozi wa CCM pamoja na viongozi wa Dini fulani mkoani Arusha kupinga tamko la Maaskofu walilolitoa baada ya kotokea vurugu mkoani Arusha. Pamoja na shutuma...
Wadau...tuipime hotuba hii ya mweshimiwa kwa uchakachuaji bungeni.. Mi nimesikiliza suala la michezo limenipa kichefuchefu..
'Tumeleta makocha wazungu kufundisha michezo...' hivi hii ni akili au...
Kwa wale ndugu zangu ambao wanafuatilia kwa karibu ile kesi ya Mpendazoe dhidi ya mahanga, ni kuwa kesi sasa imepangiwa jaji ambaye atakuwa Prof. Ibrahim Juma. Kinachosubiliwa kwa sasa ni...
Tunaelewa na ipo katika katiba ya nchi kwamba kazi za Wabunge na Bunge ni KUTUNGA SHERIA na KUISIMAMIA SERIKALI, kifupi ni kuwakilisha wapiga kura wake bungeni, pale ambapo serikali inagawa...
Jamani wanajf naomba kuuliza chama gani kati ya chadema, cuf na nccr kitakuwa mpinzani mkuu wa ccm mwaka 2015 maana chadema kinaanza kuandamwa na mikosi mara zito kabwe mara mbowe mara dk slaa...
Ningependa kumuona mpiganaji samuel 6 akijiuzuru uwaziri afu akakitema chama cha mafisadi(ccm) na kujiunga chadema ili aongeze nguvu maana mwaka 2015 tunajiandaa kuchukua nchi tukiwa na watu...
Nimesikitishwa sana kuona Zakia Meghji kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu ni yule aliyeidhinisha ukwapuaji mabilioni pale BOT kupitia Kagoda . Kwa mara ya kwanza alipohojiwa na kampuni ya auditing ya...
Kama ulibahatika kuona mdahalo wa katiba uliorushwa na ITV jumapili utagundua ni viongozi wa aina gani wanaoiongoza ccm na taifa. Hao ndio watawala wa CCM. Pius Mswekwa hawezi kuongea hoja...
NEC ni tume ya uchaguzi au ya ushindi wa CCM?
Prudence Karugendo
MOJA ya vyombo nyeti katika uhai wa usalama wa nchi yetu ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
Tunajua hali halisi ya yaliyotokea Tanzania kwenye uchaguzi wa 2010 . Lakini naamini vijana wengi pia hawakuwa wamejiandikisha kupiga kura 2010 hivyo kukosa fursa ya kumchagua kiongozi...
Madiwani wapanga kumwengua meya
Na Suleiman Abeid, Shinyanga
BAADHI ya madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Manispaa ya Shinyanga wanadaiwa kula njama za kutaka kumuengua Meya wao...
Nimesikia Askari Police Wawili Walichinjwa Kama kuku Arusha!! hivi Tanzania tumefikia hapa?
serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa...
Habari za kiinteligensia kutoka AR zinasema Lyimo Meya wa CCM ambaye alikuwa kiongozi katika baraza la Walei Parokia Ya Kijenge likongozwa na Marehemu Sam Mdee, na Mzee mwingine aitwae Makeba...
CCM's hat-trick of own goals a unique feat, but surely the team manager needs to go
By Jenerali Ulimwengu
Monday, November 8 2010
In soccerspeak, when a player scores two goals in a single...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.