Wakuu
so far wabunge wamejitahidi kuwa karibu na wananchi, kufuatilia yanayojiri nk... Ila mbunge wa kigamboni kwakweli ameiangusha kabisa CCM, bado yupo usingizini :hand:
To be honest with myself napata tabu sana kuona tija kwa wide community (obviously kwa watawala labda zinalipa sana) katika hotuba za JK ambazo huzitoa mwishoni wa mwezi kwa taifa pale inapobidi...
Uchaguzi umeisha lakini kuna kesi mbalimbali zimefunguliwa kupinga matokeo ya baadhi ya majimbo. Moja ya majimbo ambayo CCM ilitumia nguvu za wazi na kunyanganya ushindi (si Kuchakachua) ni jimbo...
Kufuatia Kauli chafu ya Vitisho kwa Wananchi iliyotelewa na Raisi Jakaya Kikwete ya Kuwadanganya Wananchi kuwa Chadema wanavuruga Amani ya nchi, mimi kama mwana diplomasia Kauli hiyo nimeiona ni...
Tanzania ni miongoni mwana nchi tajiri kwa amani na utulivu, lakini kwa sasa
hali inaoneka kuwa sio nzuri kutoka na msuguwano wa kisiasa kati ya chama
tawala ccm na chama pinzani chadema.
ccm...
Habari zenu Watanzania wenzangu, (munaopenda maendeleo ya nchi na musiopenda pia)
Leo ninacho cha kushare na nyinyi kuhusu mwenendo mzima wa nchi yetu ya Amani na upendo, nimeamua kushare hivi...
Uchakachuaji wa kura ni uhaini
Prudence Karugendo
Tanzania Daima
Tumemaliza Uchaguzi Mkuu, tumempata rais, wabunge na madiwani. Kwa upande wa Tanzania Visiwani wenzetu wamenufaika zaidi kwa...
Ice Cream zitokanazo na maziwa ya Mama zauzwa 25/02/2011
Mgahawa mmoja mjini London nchini Uingereza kwa jina, Convent Garden, umeanza kuuza 'ice cream' zilizotengenezwa kwa maziwa ya...
Kutakuwa na kongamano kubwa la kujadili mustakabali wa siasa za nchi hii toka harakati za kudai uhuru hadi leo. Kongamano litakuwa live kupitia radio IMAAN Kuanzia saa tatu asubuhi. Sikiliza upate...
Nguvu ya uma haichezewi,nguvu ya uma haina msomi,nguvu ya uma haiogopi vyombo vya dola nguvu ya uma ni Ishala kwamba ya umoja na si unafiki DONT PLAY WITH PEOLES POWER.:second::second::second:
Wakuu wote,mi naona ni vyema tukaanza kujiandaa kumpa urais Dr Slaa 2015.
Serikali hii bado imeshindwa kutatua matatizo yetu ya msingi. Wananchi wameanza kuonja madhara ya kuvaa kofia,T-shirt...
M. M. Mwanakijiji
SIJUI kama mwenzangu umegundua kuwa siku za karibuni wanasiasa wetu na watawala wetu walioshindwa wameanza kulalamika kuwa kuna udini unaingizwa katika kampeni hizi huku...
ililkuwa kama zile sinema za akina rambo na waigizaji wengine,tbc kwa kile cha kulinda maslahi ya wakubwa wakaamua kukatiisha kurusha matangazo kwa sababu mabere marando alikuwa akifichua ufisadi...
Siasa za Tanzania hazina tofauti sana na siasa za nchi nyingi za Kiafrika, ukiondoa Ghana, Botswana na Afrika Kusini. Chaguzi zetu huwa zinajaa utata mwingi na mara nyingi hazitoi matokeo halisi...
Tarehe 10.10.2010 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu ndugu Emmanuel Nchimbi ambaye wakati huo alikuwa anagombea ubunge jimbo la Songea mjini aliwaahidi wananchi wa manispaa ya songea kuwa tattizo...
Wakuu,hizi taarifa ni za kweli?:Kwamba wabunge wetu wa Chadema wameziktaa sh milioni 90 walizopangiwa kuchukua ili kila mmoja anunue gari.Wabunge wamefikia hatua hiyo ili kuonesha uzalendo...
Hivi najaribu kujiuliza Ki-protokali Matamshi ya Shimbo yana mhusisha vipi Mkuu wa Majeshi Mwamunyange?
1. Kama Shimbo anaagizwa afanye nini na Mkuu wa Majeshi, je Mwamunyange haoni kwamba...
Toka kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010 zilipoanza, CCM wamekuwa na wakati mgumu wa kuwaaminisha watanzania kuwa bado wana uwezo wa kuendelea kuliongoza Taifa hili kutoka kwenye lindi la umaskini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.