Wajumbe WDC wamsusia diwani wa CHADEMA
Na Said Njuki, Arusha
WAJUMBE wa Kamati ya Maendeleo ya Kata (WDC) ya Elerai wamemkataa mwenyekiti wa kamati hiyo, Bw. John Bayo kwa sababu ni...
Kutokana Yote Tunayafahamu Mpaka Sasa, Sharif Alipanga Kurudi CCM kwa Kupitia Njia ya Uchaguzi. Kawaida Wapinzani Dhaifu Wanarudi CCM kwa Njia ya Kutangaza Habari Maalumu Ila Sharif Ametumia...
Profesa Msolla aipa somo CCM kura za maoni
Imeandikwa na Frank Leonard, Kilolo; Tarehe: 26th December 2010 @ 23:44
MBUNGE wa Kilolo mkoani Iringa, Profesa Peter Msolla ameomba mfumo wa kura...
Tumesubiri Mpaka Tumechoka na Bado CCM Wanatudharau na Kututemea Mate Usoni. Hili Tunalisema Kwa Sababu Ushahidi Unaonekana Wazi kwa Wananchi. Kama Wengi Tumesikia Jaji Fake Mteule Warewa Anasema...
Sakata la umeya Mwanza limechukua sura mpya baada ya uongozi wa Chadema kumshtaki Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza kwa yale yanayodhaniwa ni kuvuruga uchaguzi wa Umeya na kukipendelea...
Gazeti la Jambo Leo.....linatuhabarisha ya kuwa Profesa Lipumba ambaye vilevile ni Mwenyekiti wa CUF bado atafakari kama atashiriki mbio za uraisi 2015....................
Nilifikiri baada ya...
@ Madaraka naona nitumie taarifa yako hii hapa JF japo sio yote ,Siku mbili zilizopita, nikielekea kilele cha Mlima Kilimanjaro, katika kambi ya Barafu, ambayo ni kituo cha mwisho kabla ya safari...
Gazeti la Habari Leo linatufahamisha ya kuwa Mahakama zimewaonya wenye kesi za madai ya kupinga matokeo ya kura za Ubunge...........kwa kudai ya kuwa wazitafakari na kuona kama zina misingi ya...
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita...
Diwani Chadema kuwania umeya Arusha
Imeandikwa na John Mhala, Arusha; Tarehe: 13th December 2010 @ 11:08
DIWANI wa Kata ya Kimandolu katika Jiji la Arusha, Estomi Mallah amepitishwa na Chama...
With reference to african mode of assuming power,I now find it appropriate to raise a new form of government, "democratic dictatorship" This suits as far as many african leaders conduct democratic...
CHADEMA yatoa masharti mgogoro wa mameya
Na Reuben Kagaruki
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa masharti ya kumaliza mgogoro ya uchaguzi wa mameya katika maeneo yote...
Tanzania ni nchi nzuri ambayo viongozi wake wamekazania kuiharibu kwa makusudi. Tufunge na kuomba hawa watu wanotuharibia nchi yetu watahayari na kutuachia nchi yetu bila kutuachia matatizo...
Kumezuka na zengwe kubwa la udini katika uchaguzi wa mwaka huu. Kila chama kati ya vyama viwili tajwa hapo juu vikituhumu kingine kujihusiha na siasa za Kidini na kibaguzi.
1. CCM
Umekuwa...
Kwa uelewa wangu mimi, najua Selikali ya umoja wa kitaifa huundwa na vyama vyote ambavyo vinahusika katika kukamilisha uchaguzi mkuu wa vyama vingi, ninapo sema hivyo namaanisha vyama vyote viwe...
Wananchi Tuanze Kufuatilia Faida za Uuzwaji wa Madini na Mikataba Hewa. Leo Hii Sijui Kama Wengi Tunafahamu Mikataba na Faida Zinazoingizwa Kutokana na Hii Migodi Yetu? Wananchi Leo Hii Hatuna...
Kitu cha Kushangaza Kwanini Wananchi Tunawalipa Wafanyakazi wa TBC na Daily News? Watanzania Tunajua Hivi Vyombo ni Mdomo wa CCM Kwanini CCM Isiwalipe? Sisiem Si Wana Mnamiradi Yenu? Wananchi...
Najua kuna wengi huenda hawakuipata hii. Nimeitafuta sijaiona jamvini baada ya rafiki kuniambia niitafute. Ila nimeikuta feacebook yake. Wanaoitafuta kama mimi, hii hapa
Msimamo wa Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.