AGIZO la Jaji Mkuu Agustino Ramadhan la kupatiwa dhamana kwa raia wa Afrika Kusini, mwenye asili ya Kiasia Dawid Human (48), aliyehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na faini ya sh milioni...
Tukubalianeni kabisa kuwa uchaguzi umemalizika kwa salama,kama ni mechi ndio imekwisha na mshindi ameshatangazwa ,ikiwa ni rufaa basi wa kushitakiwa na kukabwa ni refa na sio mshindi ,ndivyo mambo...
Ndugu zangu maji ni siku ya NNE:angry: haya jatoka sijui shida iko wapi,lakini ukiletewa Bili inatisha ukingalia Bili unayoletewa na siku ambazo maji yametoka Tofauti ni kubwa sana,Tufanyeje...
Ukiangalia Vitu Vinavyo Leak Kutoka Ndani ya Serikali ya Tanzania Tutaona Watanzania Tunatawaliwa na Watu Tofauti Nchini. Weakleak Imetoa Mafundisho Makubwa Kwamba Mabavu ya Mafisadi Hasa Wahindi...
Imeelezwa kuwa gharama za kuendesha kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi ni Tshs Bilioni 2 kwa uchache na hizi gharama zinalipwa na waTZ waliodhulumiwa haki zao na watawala walioamua kujitangazia...
Lile dukuduku la chadema kuzuiwa kufanya mkutano leo Arusha wamesharuhusiwa! Ndesamburo/Lema/Mbowe ndani ya uwanja leo:peace::whoo:WAO WANAPESA SISI TUNA MUNGU!
Kwanini wabunge wa CDM hawakushinda katika maeneo haya? maana nashindwa kuelewa ni kwa nini raisi wetu apate kura nyingi namna hii the tusipate mbunge hata mmoja ina maana walichakachua kihivyo...
Source:- RADIO 1 STEREO.
"Kikao cha kumpata MEYA wa jiji la Mwanza leo kimevunjika baada ya kutokea mvutano mkali baina ya madiwani wa CCM na Chadema ukumbini"
Kazi ya uchakachuaji haijaisha.
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa...
Jamani eti ni kweli kuwa Chadema wamemuhujumu Zito ,niliona kwenye gazeti baada ya kutoka kwenye karamu ya chadema alikimbizwa hospitali na hivi sasa nahisi yupo Ujerumani kwa ajili ya matibabu.
Bila kuuma uma maneno, ni ukweli usiopingika kuwa kanisa limetoa mchango mkubwa katika kuifikisha CHADEMA hapa ilipo leo hii.
Umaarufu wa CHADEMA uliongezeka mara dufu kufuatia kanisa kutoa...
Kama inavyojulikana kote, CHADEMA na Dr. Slaa (PhD) walishinda katika mikoa ya ziwa, kaskazini, kusini na magharibi. Walileta upinzani mkubwa sana kwenye mikoa ya kati na wakamalizia kwa ushindi...
Tunaona Jinsi Gani JK Anachofanya Tanzania na Tutajiuliza Anavipata Wapi? Zimbabwe na Tanzania Inauhusiano Mkubwa Sana Hasa ZANU-PF na CCM. Ukiangalia Uchaguzi wa Tanzania Ulivyoendeshwa ni Sawa...
Watanzania Waliosimami Uchaguzi Wanasema Hadharani JK Hakushinda Kwanini Tunamwacha Anendelea Kukaa Ikulu? Tuache Kuwa na Uogo na Kukubali Kubuluzwa Kila Siku. Hawa CCM Wanangalia Joto la Nchi na...
CCM shines at elections of mayors
By DAILY NEWS Reporters, 17th December 2010 @ 11:33, Total Comments: 0, Hits: 73
WHILE the Ruling Party Chama cha Mapinduzi (CCM) has won most mayoral seats in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.