Tukitembelea Nchi Nyingi Duniani Tunaona Jinsi Gani Instutions Nyingi Katika Nchi Zao Zinavyofanya Kazi Lakini cha Kushangaza Tanzania Wafanya Biashara Hasa Wakubwa Kama Mengi Wanakula Sahani Moja...
Magazeti ya leo ya Uhuru na Nipashe yamebaini ya kuwa CCM kunafukuta moto na chanzo chake ni kuwa wapo viongozi wengi ambao hawaridhiki na jinsi kura za maoni zilivyofanyika ndani ya chama hicho...
Chama cha mapinduzi CCM Wilaya Rorya kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili kutangaza kuachia nyadhifa zao
Waliochukua hatua hiyo ni Ongujo wakibara Diwani wa kata ya Mkoma shirati na...
Nikiwa kama mtanzania wa kawaida ambae ninaipenda nchi yangu,sina budi nikitoa maoni yangu.
Nimejaribu kufatilia sana siasa za Tanzania tokea uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995 kipindi cha...
kwa wale wafuatiliaji na ambao wangependa kujua kuhusu hii kesi, Itaanza kusikilizwa february 3, 2011 katika mahakama kuu hapa Dar es Salaam.
Taarifa hiyo ilitolewa jana katika viwanja vya...
Ofisa usalama adaiwa kuingilia uchaguzi
Na Patrick Mabula, Chato
MADIWANI wateule wa Hamashauri ya Wilaya ya Chato wamemtuhumu Ofisa Usalama wa Taifa wa Wilayani hiyo, Bw. Cusbert...
Watanzania,kumbuka kila mtu ana imani yake. Baada ya kufuatilia mgogoro wa wafuasi wa ccm Sumbawanga kusadikiwa kuwekewa vikwazo katika sakramenti mbalimbali,nimeshangazwa sana na kauli inayodaiwa...
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema
Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+
Nitaendelea kuwajuza
Pamoja na ukweli gazeti la Uhuru siyo kipenzi cha wana-JF lakini ukweli unabaki palepale kuwa kwa vile lipo mtaani habari zake yapaswa kuripotiwa na kutathminiwa kwa manufaa ya...
I don't know how to put this in such a way that it would not be seen like some kind of condescending... YOU are attempt to mix sms, internet, computer technology in a massive election such as...
Ndugu watanzania wapenda haki, leo nimepata tangazo ambalo liko katika gazeti la Tanzania Daima. Ndugu yetu, mbunge wa jimbo la Segerea ambaye kura zake zilichakachuliwa, Mh. Mpendazoe amekuombeni...
Leo Tumesikia Jinsi Gani Umoja wa Mataifa, UN na Umoja wa Afrika Magharibi Kutomtambua Mgombea Uraisi wa Ivory Coast, Gbagbo Baada ya Kujipa Uraisi Mwenyewe. Kitu cha Kushangaza Kikwete Hakupata...
Wanaludewa wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kumchagua mbunge.Huyo Mbunge anayesemekana alipita bila kupingwa amewanyanganya Demokrasia WanaLudewa.Ndugu Manfred Peter Mtitu Kaza Buti katika Kesi...
Hivi wanajamii hivi huu ushindi wa kishindo ndiyo upi huo? Je ni wa kishindo kwa sababu alishinda kwa kura 61% au kwa mazingitra ya utata wa matokeo yaliyokuwa yanatangazwa na NEC?
Nipi hapa...
Uongozi Ndio Tatizo Inchini Kwetu. Historia ya Uongozi Bora Tanzania Haipo Upande wa CCM Kabisa. Tumeona Jinsi Gani Wanachukua Hizi Nafasi za Uongozi kwa Sherehe na Familia Zao Kufanya Mapati...
The Victory for Dr. Slaa depends on the high voters turn out. This is important because it will make it very hard to manipulate votes in one polling area, more votes less vote manipulation because...
Leo Hii Wale Tunaoifuata Siasa ya Tanzania Tutaona Jinsi Gani Siri Zinaimaliza Inchi. Miaka Nenda Rudi Tanzania Inaongozwa na Kikundi cha Watu Wachache Sana. Hawa Mafisadi Ndio Wanaamua Waombe...
Nec yarejesha majina ya madiwani viti maalumu
Imeandikwa na Christopher Maregesi, Bunda; Tarehe: 8th December 2010 @ 21:20
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imerejesha majina ya madiwani wa viti...
GreaTthinkErs
Kwa jinsi suala hili la umeme linavyonikera licha ya kuwa na maporomoko mengi ya maji.
Kwa jinsi mafisadi wanavyowabembeleza na kufunga vibaka
kwa wanavyopeana vyeo utadhani nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.