Ikiwa hali ndizo hizi,chaguzi za nini?.
Hivi tunavyoandika chaguzi zenye mizozo ziko Haiti,Misri na Ivory Coast.
Unajua haya mambo ya uchaguzi yana gharama mno,kuanzia mali mpaka muda na afya...
Imekuwa ni kawaida ya marais kusamehe wafungwa wa makosa mbalimbali hasa ya kifungo kidogo na makosa ambayo wafungwa wametumikia kwa muda furani.
Ndg liyumba anasiku magereza na je wanajamii...
Ndugu Watanzania ambao tunaoshi maeneo ya Washington DC, tunawatangazia wote kwamba tutafanya mandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu, 2010 na namna shughuli ya kuhesabu kura za uchaguzi...
Jumapili ya tarehe 5 dec 2010 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wana wa moshi baada ya mh mbuge wa moshi mjini na madiwani wake kuandaa party ya shukrani kwa kila kata.ilikuwa imetulia sana.source me...
jamani nsaidieni hivi ni vigezo gani vilitumika katika kuwateuwa wabunge wa viti maalum???????? je ni uzuri ama utendaji kazi na uwajibikaji wao????? coz kinachozungumzwa sana na vyombo vya habari...
Gazeti la Majira la leo linatuhabarisha ya kuwa Mbunge wa Nyamagana Mheshimiwa Wenje amechangiwa samani za ofisi ambazo mbunge wa zamani Masha aliziondoa...........
Na wakati huohuo Zitto...
MWENYEKITI wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Agustine Mrema (TLP), amemvua madaraka Mwenyekiti wa Kijiji cha Kyala, Kata ya Marangu Magharibi, Agustino Fabiani kwa madai ya unywaji wa pombe...
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia...
SILINDE, MKOSAMALI WAMETUPA FUNZO KUBWA WASOMI
Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni ambao mchakato wake ulitawaliwa na vituko kibao tangu mchakato wa kura za maoni mpaka uchaguzi mkuu umeacha...
Slaa alikuwa anapata taabu kweli.
Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo.
Yeye (Zitto) si...
Hivi kitendo cha Kikwete kuongeza ukubwa wa Baraza lake la mawaziri, ndiyo kusema kaanza kutekeleza ahadi yake ya kuongeza ajira? Tamko la Mizengo Pinda wakati akihutubia alipoteuliwa kuwa Waziri...
EBWANA NAOMBA KUULIZA MASHA AMEPIGANA NA NANI NA KWASABABU GANI MWENYE FULL INFORMATION ATUJUZE:target::target::target::target::target::target::target:
Mchungaji Christopher Mtikila wa DP amesema atafungua kesi mahakamani kupinga uamuzi wa Nec kumuengua katika kinyanganyiro cha urais.
Mtikila, ambaye alienguliwa kwa madai ya kutotimiza...
Ndugu zangu nimepatwa na mshangao mkubwa kuona aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NDANI (USALAMA WA RAIA) na mwanasheria kwa taaluma kuondoka na samani za OFISI YA MBUNGE WA BUNGE LA JMT.
Naomba...
Viongozi wa CCM Kila Leo Wanajitanza Wamefanikiwa na Wanaendelea Kupambana kwa Nguvu na Mali Kumaliza Rushwa. Hii ni Kweli Jamani? Kama ni Kweli Mbona Inchi Ingekuwa Mbali na Matokeo Tungeyaona...
Salakana aahidi kufufua viwanda
na Grace Macha, Moshi
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Justin Salakana, ameahidi kama akishinda ataongea na Rais...
Katika kukua kwangu nimekua nikisikia sifa tofauti tofauti kuhusu wa tz,baadhi ya sifa izo ni kuwa wapole,wasio penda purukushani,wasiojua kudai haki yao,waungwana,watu wa yes sir etc.
Nikiwa ktk...
CCM kukaangana wiki ijayo
Saturday, 04 December 2010 22:39
juzi alikaririwa na gazeti la Mwananchi Jumapili akisema kwamba ndani ya chama hicho hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.