Habari nilizopata hivi punde toka jimbo la Uchaguzi la Ngara Mkoani Kagera, ni kuwa lina wagombea wawili Moja ni Ndugu Ruhuza wa NCCR na Mzee Ntukamazina. Wakati Ruhuza anapiga kampeni kwa bid...
Jana asubuhi bbc walikuwa wakimuhoji AM na walimuuliza kuwa anaandaliwa kugombea urais akasema kama nikifanya mambo ya kueleweka miaka hii mitano basi naweza......
Je CCM wanajiandaa kuweka...
Kwa kawaida jambo la muhimu sio tu kufanya jambo la muhimu.
Ni muhimu kufanya jambo la muhimu wakati muhimu na unaofaa. HAPO NDIPO JAMBO LA MUHIMU LITAPEWA UMUHIMU.
Viongozi wengi wanalijua hili...
Wajameni, habarini za leo tena?
Ninakumbuka kuwa jana Kata 23 ambazo hazikufanya uchaguzi wa madiwani wake tarehe 31/10 zilipaswa kuwachagua wawakilishi hao jana. Je, kuna mwenye updates za...
Kiukweli inauma sana kwa kitendo ambacho tume wanakifanya sasa hii,, halafu hawana hata aibu hawa wanasheria kwa mfano lewis Makame, anafikiri watanzania ni mambumbumbu kiasi cha akufikia...
Jennister mhagama alifanya vizuri katika nafasi ya uenyekiti ndani ya bunge lililopita na aliendesha vikao vya bunge kwa mafanikio kuliko hata Job Ndugai na pengine kuliko hata Anne Makinda...
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010
regional
# of voters
voters to vote
kikwete
lipumba
slaa
rungwe
peter
mugahywa
total
winner by regional
arusha...
Katika kampeni nzima Chama cha Mapinduzi hakikuahidi mabadiliko yoyote makubwa aidha ya mfumo wa kisiasa, miundombinu ya utendaji au hata mabadiliko ya kuona haja ya kufanya mageuzi makubwa ya...
Sioni sababu ya Chadema kupita na kulalami au kuilalamikia NEC kuwa ilibadili matokeo,hivi kosa lilikuwa la nani ? Matangazo yalitangazwa direct punde yanapopokelewa na sote tuliona kwenye runinga...
Nilikuwa nafikiria namna nyingine ya kutatua mgogoro uliopo sasa hivi kati ya CCM na CHADEMA kuhusu suala la matokeo ya Urais. Nimefikiria kuna kesi mbili ambazo nikiwasikiliza CCM na wale wenye...
Ukizingatia yaliyotokea Zanzibar baada ya Uchaguzi mkuu yaani kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, na ukiangalia performance ya CUF kwenye uchaguzi mkuu kwa upande wa TZ-Bara...
Kutokana na matokeo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa majiji ya Tanzania yamekombolewa na CHADEMA majiji hayo ni
Mwanza City (Nyamagana) Ezekiel Wenje
Arusha Godbless Lema
Mbeya Joseph Mbilinyi...
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea...
Kama kuna kero ambayo wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wanaipata hasa kwa wamiliki wa magari ya abiria basi hili la kuchukua ushuru unaoitwa wa kuboreshwa kwa mji wa Songea.Kila barabara inayoingia mjin...
wanajamii naomba kupokelewa jamvini,mimi ni mgeni hapa!ndugu zangu wana JF hapa russia kuna tawi la ccm,wameandaa sherehe za kumpongeza rais jk kwa ushindi hafifu aliopata katika ubalozi wetu hapa...
Wajameni nimechelewa kuona news. Dr. Anasema sheria ni nzuri kutunga na tuzifuate. Kipengele kipi jk anapingwa? Tujuzeni mliokuwepo kwani alikuwa na press conference
WanaJF,
I thought these little facts ingenuously articulated ashumour will enlighten some of us who can not get hold of Daily news paper.
The genie wakes up! By ADAM LUSEKELO
AFTER more than 40...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.