Jennister mhagama alifanya vizuri katika nafasi ya uenyekiti ndani ya bunge lililopita na aliendesha vikao vya bunge kwa mafanikio kuliko hata job ndugai na pengine kuliko hata anne makinda...
For Want of a Nail
For want of a nail the shoe was lost.
For want of a shoe the horse was lost.
For want of a horse the rider was lost.
For want of a rider the battle was lost.
For want of...
CCM special seat members of parliaments through non-governmental organizations have asked the Tanzania Association of non-governmental organizations (Tango) to keep quiet as it does not know the...
Gazeti la Tanzania Daima limetuhabarisha ya kuwa aliyekuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chadema Dr. Slaa ambaye wengi wetu tunaamini ndiye aliyeshinda kinyang'anyiro cha Uraisi ametoa sharti la...
Tumempongeza dr slaa ila ninaomba wanajamii tusiwasahau media zilizojitoa mhanga kumrusha kihali dr slaa na nguvu ya umma-mwanahalisi, raia mwema na mwananchi ni people's speaker. Tuna mashujaa...
BAN KI MOON AMPONGEZA JK NA WATANZANIA WOTE KWA UCHAGUZI MKUU WA AMANI
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amemtumia salamu za pongezi Rais Jakaya Mrisho Kikwete na watanzania wote kwa kukamilisha...
Dr. Slaa bado wapiga kura wako tunataka kufahamu ulishindwa kwa kura ngapi au ulishinda kwa ngapi na uchakachuaji ulitokeaje????? nimechoka kuvumilia naomba Dr.Slaa jitokeze sema na wananchi. Hizo...
Ninawasikitikia sana vijana wa Tanzania. Vijana wanaotokea familia masikini, mafukara ambao wazazi wao wanaishi kwenye nyumba za tembe na kulala kwenye vitanda vya ngozi za ng'ombe.
Vijana...
Says walkout misinterpreted
CHADEMA national chairman and official leader of Opposition in the parliament, Freeman Mbowe
Chadema yesterday clarified that it recognised the elected president...
Mjomba mpendwa salaam,
Mimatumaini yangu kuwa unaendelea vizuri wewe pamoja na wote hapo ulipo.
Dhumuni la barua hii ni kutoa pole kwako kutokana na mikikimikiki ya uchaguzi, kwakweli kilikuwa...
Kuna mdau kaniambia katika majadiliano kuwa mseto hauwezekani bara kwa vile chama chenye wabunge wengi ndicho kinaunda serikali. Sasa pamoja na hayo chama tawala hakina mamlaka kuteua mawaziri...
WanaJF naomba mwenye taarifa anisaidie hapa!!!!!!!!!! Comment zangu kwa barua hiyo ni hizi hapa!!!!!!!!!
MwanaJF M. M. Mwanakijiji naungana na Great Thinkers WanaJF kukupongeza kwa kuchukua...
Inasikitisha sana kuona kila unapofanyika uchaguzi mkuu wa kuwapata viongozi, maamuzi ya wananchi juu ya kuwachagua viongozi wao kuanzia Madiwani, Wabunge hadi Rais huwa hayaheshimiwi.
Unakuta...
Sio siri uchaguzi mkuu wa wabunge na Rais wa mwaka huu 2010, umeacha maswali mengi na maeneo kadhaa ya Political analyst na Political Scientist kuyafanyia kazi. Moja ya eneo hilo ni IDADI NDOGO YA...
Kama CCM inajiamini ilishinda uchaguzi wa Raisi kwa nini uchaguzi mkuu usirudiwe ili kuondoa uhasama na wa tu tukarudi kuendelea na shughuli za kujenga taifa??? Hamna wazee wenye busara nchi hii...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax...
Kuna utata kidogo kwenye website ya NEC, ukifungua ile link ya 2010 Presidential Results haikupeleki kokote,inarudi kwenye home page sasa hapo sijui wanaogopa nini tena?
Kuana habari nimeipata toka chanzo cha uhakika Ikulu JK mbali amemteua kijana mmoja kuwa mkuu wa wilaya moja huko Nyanda za juu kusini. Huyu kijana ana miaaka kati ya 30-32 na amaemaliza chuo...
Enyi wakurupuakaji na mnaosema kwamba CHADEMA inasema kura zimekwiba angalia kama mwenyekiti wa chama amesema lolote kuhusu hilo? Acheni kupaza sauti wakati hamjui wenzenu wanalozungumzia. Mbowe...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 10 November 2010
MATOKEO ya uchaguzi mkuu yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), yamejaa utata, MwanaHALISI limegundua.
Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.