Kwa sababu ccm ni wabishi na wanataka kuendeleza uchakachuaji, na kwa kuwa ili chadema iwahudumie vema watanzania, naamini ambaye yupo karibu na uongozi afikishe ombi la watanzania tunaochukia...
Walioandikishwa kupiga kura ni milioni 19
Waliopiga kura (turn out) ni milioni 8.6
Kikwete kapata kura milioni 5.2
Slaa kapata kura milioni 2.2
Katika chaguzi kuu kumi zilizopita hatujawahi...
Channel Ten leo jioni imetuhabarisha ya kuwa Mchungaji Mtikila ataiburuza NEC mahakamani kwa kile anachodai kunyimwa haki yake ya kimsingi ya kugombea Uraisi
Alidai yakuwa NEC ilimwonea...
Wana JF;
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa original results kutoka katika vituo vya kupiga kura ambazo Mgombe wa CHADEMA Dr. Slaa na vijana wake walikuwa wanahakiki zinaonyesha...
NEC imetoa majina na mgawanyo wa wabunge sita wa viti maalum waliosalia, Chadema, CUF na CCM kila kimoja kimepata wabunge wawili zaidi. Names of appointees later
Source: Nipashe
Nimefuatilia kwa kina mwitikio wa watu mbalimbali na hususan wa viongozi wa CCM kufuatia the "walkout" a.k.a "kutoka nje" kulikofanywa na wabunge wa Chadema jana. Hata hivyo nimejitolea kutoa...
Raisi kikwete anaonekana kabisa kwamba hana raha na ushindiwake wa kulazimisha na kuiba. Kama mnamjua kikwete anaonekana mnyonge kwasababu rohoni anajua kashidwa na amewekwa na watu kwa manufaa...
Yusuf Makamba
Baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupoteza majimbo 53 ya ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu, Katibu Mkuu wake, Yusuf Makamba sasa ameamua kila mgombea...
Hicho ni kipande katika hotuba ya jk jana pale uwanja wa taifa. Nachompendea jk ni pale anaposema nakuibia na anakuibia kisha anaiba kweli. Alituambia majuzi kuwa wizi wa kura utafanyika katika...
Katika hali ya kawaida, mwakilishi wa wananchi mfano Mbunge au kiongozi mwingine wa kutumikia watu huchaguliwa kutokana na kukamilisha vigezo kama vile utendaji uliotukuka, uchapa kazi unaoendana...
Aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Willibrod Peter Slaa pamoja na aliyekuwa mgombea ubunge wa Segerea Fredy Mpendazoe watanguruma siku ya Jumapili katika viwanja vya...
Oktoba 31, 2010 kulifayika uchaguzi Tanzania. Matokeo ya uchaguzi yametoa yafuatayo:
1. Matokeo ya kura za wananchi dhidi ya kura za NEC.
2. Wagombea waliochaguliwa na Wananchi na wagombea...
Je hatua ya CCM kufanya mapendekezo ya spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kigezo cha Jinsia kimekanya katiba sehemu ya 9 kifungu kidogo cha (g)? wadau naomba masaada hapo.
9...
Hawa wanamgambo wa CUF siwaelewi. Tena siwaelewi kabisaaaaaaaaaa!
Hivi inakuwaje wanakuwa wanaongoza kukaa kwenye mic za waandishi wa habari na kukiponda Chadema??
Tunajua kuwa CUF na NCCR na...
Padri Privatus Karugendo alitoa hoja iliyonigusa. Alisema ilikuwaje Lipumba akamzidi Kikwete katika kura za Rais wa Jamhuri lakini Seif akashindwa kumzidi Shein?:angry::angry:
Naomba yeyote...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWENYE UZINDUZI RASMI WA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA, 2010...
Katika mchezo wa karata,mtu anapata ushindi kutokana na atakavyomfanyia timing mpinzani wake. Kadiri unavyokuwa na mahesabu mazuri ndivyo unavyomuweka mpinzani wako kwenye wakati mgumu na huenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.