Wadau. Mi naomba tujadili strategy gani na za msingi ambazo Chama Kikuu cha Upinzani Bungeni Kinatakiwa kutumia kuhakikisha 2015 nchi hii inatawaliwa na chama cha wazalendo. Tafadhari toa mawazo...
From Dr Slaa FACEBOOK PAGE
Cesc Fàbregas | Facebook
Wabunge wetu wamechukua uamuzi mgumu sana, uamuzi ambao unataka ujasiri na uthubutu wa vitendo. Ni lazima tuelewe kuwa mgogoro uliopo siyo...
Jamani ninayo feelings mbaya kwamba huyu rais wa mchakachuo ataifikisha nchi pabaya hii miaka mitano. Sijui kwa nini najisikia vibaya hivi! Huyu jamaa ataacha nchi iko kweli hali mbaya ya ubaguzi...
Chadema kimeundwa. Msione vyaelea.
Ask you fake president why is he keeping boasting about udini?
Anajuta kuleta udini kwenye nchi isiyo na udini.
Amepanda. Anavuna alichopanda.
Sources hizi zinahusika!!
1) Matokeo ya Uchaguzi wa 31.10.2010-Sheria za Uchaguzi na Wabunge wa CCM Waliobebwa kuingizwa bungeni "Kupita Bila Kupingwa", na vituko vya jinsi na mbinu walizotumia...
Tulisikia Mh. Spika wa bunge la Jamhuri wa Tanzania akisema kuwa wabunge hao wataapishwa mwezi wa pili kutokana na sababu ambazo hazieleweki, kwanza kabisa wabunge hao wametangazwa kuwa washindi...
Many people including foreigners have viewed their views on Maalim Seif decision to concede defeat to Mohamed Shein. Majority of them praise Maalim Seif for his decion by showing that he is a...
Nilijaribu kufuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi lakini sikuwahi kuona wala kusikia jina la Kingunge kutajwa kati ya majina ya wagombeaji, sasa huyu mzee Dodoma kafuata nini? Nimeona...
Wana jf naombeni mnisaidie katika hili, hivi Tamko la Dk slaa kwamba Chadema haimtambui JK kama rais wa Nchi lina madhara yeyote kwa CCM au serikali iliyopo madarakani? na mimi kama mwana-CHADEMA...
CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la...
Nimeamua kuwataja nyie kwa vile naelewa mnaweza kunifikishia ujumbe wangu kwa viongozi na wana Chadema wote.
Kwanza nianze kwa kuwapongeza na kuwashukuru kwa kazi nzito mnayoifanya, pili ujumbe...
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT.
Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA...
Ibara ya 51 ( 2 ) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema:
(2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais...
Taifa linaelekea utumwani
Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,
Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe...
Sofia Simba kupita bila kupigiwa kura wala kuhojiwa kuwa Mbunge wa SADC ilikuwa sahihi?
Ndungai anasema Mnyika alikuwa sahihi kulingana na kifungu cha 5 (2c) cha kanuni za bunge lakini...
Source: Tanzania Daima Alhamisi, Novemba 18.2010
Hapa bunge la JYT lilikuwa linachagua wabunge wa Bunge la SADC. Kwa mgombea wa sisiemu kutokujadiliwa, kuulizwa maswali, na hatimaye kupigiwa ni...
Wana JF naombeni msaada mimi ni mmoja wa watu ambao sikumpigia Kura ya ndiyo xkikwete na kutokana na hila zilizofanywa na dola kuhakikisha anaendelea kupigia mswaki ikuru simtambui kama rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.