Jamani mwezi septemba nilipita maeneo ya kasulu na kukuta watoto wadogo sana wamebeba kuni bila shaka walikuwa wanaenda sokoni ili angalao waweze kupata mlo.Tunahitaji kutafakari hali hii
well its seems to be normal but it isnt the really situation that we may have in our college.being far from the city of dar really affecting what happening over here.
most of collegues have been...
Wengi Tunakumbuka Mahali na Sauti ya Mwalimu Nyerere Alipokuwa Akisafiri Inchi za Afrika na Duniani Kote. Nyerere Aliheshimika Sana kwa Misamamo Yake Kwenye Kila Swala Duniani. Tukianzia Afrika...
Nipo ughabuini Brazil ambapo nako siku hiyo hiyo walikuwa na uchaguzi. Majibu ya Rais yalitoka hadharani masaa 6 badaa ya kufunga kupiga kura huko kwetu kuna mdudu gani kama si wizi mtupu...
Tume ya uchaguzi NEC imebadilisha matokeo ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Vunjo baada ya kugundua ilitangaza matokeo tofauti na yale yaliyotangazwa awali na msimamizi wa uchaguzi.
Nec imetangaza...
Haya tena kile watanzania walichokua wanakisubiri kwa yule Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda AKA Mtoto wa Kilimo kwanza kashaapa kulitumikia taifa la watanzania kua waziri Mkuu kwa awamu ya...
mjumbe wa Bunge la SADC-PF ni Mohammed Habib Mnyaa (Mkanyageni-CUF), ambaye alitangazwa mshindi kwa kura 275 dhidi ya kura 47 za mgombea wa CHADEMA, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa...
Baada ya kupata nafasi kubwa sana Bungeni na kuweza kutoa Kiongozi wa kambi ya upinzani,, sasa tumejiwekea nNafasi nzuri kwakuwa na wabunge wengi kuliko vyoama vyote pinzani...
Tunawashukuru...
Kulikuwa na taarifa kuwa kuna ajent wa kampuni moja ya simu alichukua vitambulisho vya wapiga kura takribani mia nne(400) ili kuzitoa kopi waweze kusajili namba zao, ila akatokomea nazo.tukio...
Tangu kuzaliwa kwa nchi ya JMT, katika marais wote waliopita, Kikwete amekuwa rais wa kwanza kuweka historia ya kuporomoka umaarufu wake kwa kishindo. Mwaka 2005 aliingia kwa kishindo na mwaka...
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa
JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?
Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna...
Tathmini yangu fupi ya mwenendo wa uchaguzi inaonesha kuwa kila sehemu ambayo Chadema iliweka mgombea makini, msomi, Kijana na mpiganaji wa ukweli katika Ngazi za Ubunge na Udiwani Chadema...
Leo Tunaona Jinsi Gani Inchi Zilizoendelea na Zinazoendelea Zinafanya Kila Jitihada Kurekebisha Uchumi Wao na Kuhakikisha Wanajiimarisha Kwenye Global Economy. Leo Tunaona Tanzania-CCM Base...
Hatimaye rais ataapishwa!
Edward Kinabo
ENYI wana wa Tanzania, mnaolia kwa uchungu wa kupewa rais msiyemtaka, yule mnayemwita rais wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
Nilivyomuona Shariff Hamad akiyapokea matokeo na kutoa pongezi kwa Shein, ilikua kama alishayajua matokeo muda mrefu tu..... Na ukiiangalia picha hii (toka michuzi blog) Mshindi na mshindwa...
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa...
naomba mtaniwia radhi wana JF hii ni post yangu ya kwanza kbs hapa JF ingawa nilijiunga zamani kdg, napenda kujua kwa wale wanao jua mambo yaliyo chini ya kapeti, hivi shamsi vuai nahodha...
Wanajamvi wenzangu naomba mwenye kujua historia ya mh S. SITA aiweke hapa ili niifahamu..
Kwangu namuona mwana mabadiliko kwa sehemu yake ktk jamii yetu ya Kitanzania, alikotokea kiutendaji kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.