Jamani hayo maandishi meusi yana uhusiano na ujumbe aliopeleka Obama na running title waliyoweka the Guadian?? Mbona waTz tenapendelea kudangany'ana kila siku ?? Yaani media za Tz ni zero!! US...
With honour I hereby submit few querries to hon.dr Slaa,lissu ,mdee,zitto,myika and chadema followers who are available at Jf on few constitutional issues as follows: first,sec.51(3) is...
Mambo ambayo hatuna budi kuwa makini nayo ni yale yaliyotokea huko Shinyanga ambako mipango ya siri ya uchakachuaji matokeo ya uchaguzi kwa njia ya siri yalikamatwa lakini mpaka leo hakuna taarifa...
Kwa vile Chadema kimejitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani (a Government-in-Waiting), na kimetokea kuaminiwa na watanzania wengi, kitumie kipindi hiki cha kabla ya uchaguzi wa 2015 kujijenga...
I think the law is clear about complaints related to election issues, everything should be challenged in court. I think and believe that it is nonsensical not to recognise the elected Head of...
Kwanza napenda kusema wewe ni kiongozi mzuri sana na historia itakukumbuka kwamba uliokuwa miongoni mwa viongozi walioleta mabadiliko ya demokrasia ya nchi yetu.... kwa kiengereza nadhani (you are...
Mimi ni mmoja wa wafuasi wa kupigania haki za wanyonge na kupambana na ufisadi Tanzania.>nilifurahishwa sana na Bunge lililopita na jinsi lilivyoendeshwa. Lakini kinachonikwaza mpaka leo ni namna...
- Wakuu heshima mbele sana, naomba kuuliza vipi mgombea wa Chadema kule Bukoba, ambaye pia huko nyuma aliwahi kuwa mbunge, na pia aligombea tena mwaka huu kupitia Chadema Ndg. Rwakatare, mbona...
Wadau naomba maoni yenu. Mimi naona Mizengo Pinda hatarudi tena kuwa waziri mkuu bali kundi la mafisadi wataingia sawa sawa kuchukua nchi na kufanya wakalo knowing ni kipindi cha mwisho cha Mkubwa wao
Kutokana na wizara nyingi kuwa na mwingiliano wa kimajukumu na kusababisha gharama kubwa zisizo za lazima wala tija kwa watanzania, natamani wizara hizo zivunjwe kabisa au ziunganishwe na wizara...
Rostam Aziz amejitetea huku akimnyanyapaa Dr. Slaa kuwa ni mzushi na anazeeka vibaya lakini utetezi wake Bwana Rostam ya kuwa alikuwa Afrika ya Kusini wakati tarehe za hicho kikao cha kupanga...
Aliyemtusi JK mbaroni
LABDA WATU HAWAJUI METHALI...
"""POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imemtia mbaroni mgombea ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya CHADEMA, Dickson Nghili, kwa tuhuma...
Hatimaye kile watanzania walichokua wanakisubiri kuhusu ule mchakato wa kupata jina teule la waziri mkuu ni kitendawili! Jina limechelewa kutolewa kutoka ikulu, kwahiyo watanzania tuwe na subira...
Wafuasi wa CCM wampiga m/kiti wao Send to a friend Mwananchi: Monday, 15 November 2010
Joyce Joliga, Songea
MWENYEKITI wa CCM wa Kata ya Bombambili, katika Manispaa ya Songea, Alphonce Haule...
Kama kuna kitu kinanisikitisha, ni kuona wana-JF wanaotupia lawama kwa CHADEMA kwa kutomtambua Rais. Wengine wakidai, kama CHADEMA haimtambui Rais, basi haina haja ya wao kuruhusu wabunge wao...
Leo kwenye Channel Ten jamaa wa SYNOVATE wamejitokeza na kudai kipaumbele chao kwenye uchaguzi huu kilikuwa ni amani bila ya kueleza wao wangeliweza kufanya nini kuimarisha amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.