Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.
Mwaka...
Chadema imetetea jimbo la Mpanda Mjini, CCM imepata majimbo ya Nkenge, Mpanda Vijijini na Magogoni Zanzibar, CUF wamepata Jimbo la Mtoni, Mwanakwerekwe na Wete.
CUF imeongeza majimbo mawili...
Naomba kujua kama huyu jambazi naye alikula kiapo cha ubunge maana alichakachua kura na lazima uchaguzi urudiwe, vinginevyo hataweza kutawala jimbo letu la Segerea.
Nipo tayari kutaja majina ya mahafisa usalama waliohusika katika kuvuruga uchaguzi kama majina hayo yatahitajika mahakamani-dk.Slaa azungumza akiwa Dodoma
Heshima kwenu wakuu
Jana usiku nilikuwa nikiangalia Chanel Ten, ndipo akaingia Sheikh Yahaya hussein na mambo yake, kwa kifupi mzee huyu alikuwa akimfagili JK kwa ushindi wake, alidiliki...
Edmund akihojiwa na Metty Nyang'oro katika kipindi cha Kombolela Show kinachorushwa na Radio Mbao anatoa tathmini ya matukio ya kampeni za kisiasa na uchaguzi wa Oktoba 31.
Amegusia "strengths"...
Ninakiu ya ukwel naukwel huo nikusikia Sita anakuwa spika wa bunge lijalo. Huyu nikiongoz wa kwel alie leta maana ya Bunge. Uzalendo wake,umahiri wake wakufanya mambo huku akiamini kuwa kiongoz...
Hehehe hapa kwa kweli Dr. Slaa umetusaliti Watanzania mbona kimya na kwa gonga hii na Mh. Pinda ina maana serikali ya JK so far umeikubali yetu macho...
Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,
Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe hawezi kutenda haki na...
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri...
Tutumie Bunge na Sheria Zake Kuijenga Inchi Yetu. Tunajua CCM Watafanya Kila Njia Kuzuia Hoja kwa Kumtumia Spika Makinda Lakini Kunanjia za Kuwakamata CCM. Tutaona Sheria Walizozitunga Kama...
Kutokana na chanzo kilichonitonya habari hizi kuwa ni cha idara nyeti ya serikali naomba kutoa hoja kama ifuatavyo:
Katika kukurukakara za kujiandaa na uchaguzi huu wa mwaka 2010.. kuna habari...
Matokeo ya kura ya Uchaguzi wa Wabunge katika majimbo 7 yaliyoshindwa kufanya uchaguzi tarehe 31 Oktoba 2010 na hivyo kulazimika kufanya jana yametangazwa. Matokeo hayo yanaripotiwa kuwa Chama...
Diwani wa kata ya Kasense (CCM) katika halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga mkoani Rukwa Bw.Pius Michael Sichombo (63)amefariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi ikiwa ni siku tisa...
Kama record zangu ziki sawasawa waheshimiwa waliomtoa Bungeni Mh. Zitto Kabwe karibu wote wameshindwa kutetea nafasi zao. Mfano John Malecela, Nazir karamagi, Batilda Burian, Ruth Msafiri na "Joka...
Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa
Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni
Azimio 1, Chadema (124), CCM (23),
Azimio 2...
i recently posted this message jamvini https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/87443-petition-to-decrease-wabunges-salaries-a-must-read-2.html
I also asked for some sort of a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.