Kwa wale ambao macho yao yana matatizo nayaweka maandishi chini ili yasomeke kilichoandikwa:
===============================================
The White House
Office of...
Kuna habari zinaendelea kusambaa kama moto wa kifuu kuwa Dk Slaa amefanya/au atafanya press confeence huko Dodoma this morning. Mlioko huko hebu tuhabarisheni. Tuna hamu ya kujua anasema nini huyu...
Yule mbunge mwenye ulemavu wa ngozi tuliyemsoma wiki chache na kupongeza ushindi alioupata wa Ubunge wa Lindi Mjini, tukalaani waliombeza kutokana na alivyo, tayari ameanza kupokea vitisho vya...
Source: Gazeti Sem Usikike, tarehe 15.11.2010
Kwamba mafisadi walisherehekea kuanguka wa Mr 6 uspika kwa kuchinja ngamia dume. Je mnyama huyu anaambatana na makafara ya...
CCM yadai mwaka huu ni waakinamama kufuatia uteuzi wa CC kwenye nafasi ya Uspika lakini uteuzi huo ni wa kumuenzi Mama Anne Makinda pekee kama Makinda na wala siyo wanawake kwa sababu Makinda ana...
Mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba, alidai kuwa wakati wa kampeni, Marando alikuwa akitumia lugha kali na za kashfa hivyo iwapo atachaguliwa kuwa spika atakuwa na lugha hizo hizo au...
Source: Na M. M. Mwanakijiji, gazeti la MWANAHALISI, Jumatano, Septemba 17,2010:
Kwa muda sasa wanaJF wanakuwa wakichangia mawazo hoja ihusuyo wabunge waliopitishwa na kuhalalishwa na Tume ya...
CCM ni mfumo. Na ili kuuangusha mfumo wowote, lazima uufahamu.
Pamoja na ufisadi na rushwa vinavyoabudiwa na CCM, mfumo wao wameujenga katika kupumbaza watu wa vijijini hasa wasio na elimu...
wakuu, baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu makamba akitangaza kwamba uspika safari hii kupitia chama chake sifa ni uanauke.
vyombo vingine vya habari vikaripoti kwamba jk ameshauriwa kumteua...
kama mnakumbuka vizuri Kilavu alizuia watu wote waliokuwa mbali na vituo walivyojiandikishia kupiga kura mahali walipokuwepo. Ukiangalia vipengele vya katiba, sababu zilizotajwa, aliyoitoa Kiravu...
Ndugu wana JF, kuhamishwa kwa Mkuu wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Godfrey Nzowa, kwenda ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Charles...
Katik vitu ambavyo mimi vinanifanya nimuone Kikwete ni Mbumbumbu wa kufikiri, ni kung'ang'ani kuwapa Wanawake Nafasi nyeti Selikalini,, jamani Si vibaya lakini Hii nchi ni nchi inayo chuchumia ki...
Nani alishinda Zanzibar ni CCM au CUF?
Padri Privatus Karugendo
KWA wanafiki na wenye uchu wa madaraka hili linaweza kuchukuliwa kama swali la uchochezi, swali la kutaka kuvuruga amani na...
Jamani naomba kupata taarifa kuhusu uchaguzi wa naibu spika wa bunge la jamuhuri wa wa muungano wa TZ kashapatikana? nimepata habari kua People's Power (CHADEMA) wamemsimamisha Mustapha Akunay...
Du ina maana hilo lichama la kijani just 5 yrs away litakuwa limejaa vibabu. Where are the young guns?????? Hebu cheki hapa chini nyumri zao by 2015.
JK - 65
Makamba - 80
Msekwa - 80
Saim...
hapa chini nimeweka tu baadhi ya maadili ambayo viongozi wetu hawa tunaowaita mafisadi wame kiuka na sasa tu na waona kwenye Bunge jipya huku Raisi wao akijidai kuwa safisha mpaka Mmoja wao ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.