Wana JF, itakumbukwa kauli za baadhi ya viongozi wa ccm ni ile iliyobainisha kuwa chama hicho kilikuwa na mtaji wa kura milion4 za wanachama wake kabla ya uchaguzi mkuu 2010. Pamoja na yote...
Dr. Slaa anahojiwa na tbc taifa kuhusu kupitishwa kwa anna makinda.
Maoni yake ni haya;
Mtangazaji: Unaonaje kupitishwa kwa anna kama spika wa bunge la jamhuri?
Dr. Slaa: Anna makinda anafaa kuwa...
Hi wana JF,
kwa mtazamo huu wa upinzani kuparaganyika, yaani upinzani ndani ya upinzani,
Chadema wana chance kama ya NCCR mageuzi (rise1995 - fall2010), i think wasipoangalia, it will be a matter...
Hivi ni kwa nini Watanzania wanaoishi nje ya nchi hawapati haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu kama huu uliopita kama zinavyofanya nchi nyingine?
Hebu tujiulize sakata la Mhe. Samweli Sitta na jinsi CC ya CCM ilivyojikanyaga hapo................Sasa tuna ushahidi ya kuwa CC ilikuwa na donge zito dhidi ya Mhe. Sitta na kauli za Makamba...
ZIKIWA zimebakia siku mbili kabla ya kufanyika uchaguzi wa ubunge katika majimbo ya Mpanda Mjini na Vijijini, mawakala 22 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameshindwa kuapishwa...
Miaka 15 ya mfumo wa vyama vingi Tanzania. Mengi tumeyaona, lakini yaliyotokea juzi na jana kule Dodoma yamenipa funzo kubwa kwamba upinzani Tanzania umejaa waganga njaa na wanafiki wanaoweza...
Mbunge anayetoka zanzibar anaingia kwenye bunge la jamhuri ya muungano kujadili mambo yanayo husu muungano tu? na kama ndivyo inapofika kwenye masuala ya Tanzania bara kuna mpaka gani unaowazuia...
Nawaomba wana JF tuwapepongeze hawa wananchi kwa sababu zifuatazo:
1. Wameweza kuwaondoa mafusadi/wanaowaunga mkono katika maeneo yao.
2. Wameweza kulinda kura zao hadi kuhakikisha matokeo...
Naomba kupata ufafanuzi hapa. Hivi kwanini Seif aliapishwa na Shein? Je inawezekana shein akamfukuza umakamu Seif? Hicho cheo cha seif kinampa wajibu gani katika serikali (SMZ)? na katika SMT seif...
Please for those in the know, Hapa kuna Kesi ya kuchakachua kwahiyo kesi ikifunguliwa je atasimama mbunge mwingine wa Chadema au kesi haitafunguliwa tena, na ikifunguliwa akashinda can someone...
tathmini ya uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2010
REGIONAL # OF VOTERS VOTERS TO VOTE KIKWETE LIPUMBASLAARUNGWEPETERMUGAHYWA TOTAL WINNER BY REGIONAL 20,445,725.00 13,289,721.25...
Wakuu habari za uhakika kutoka mahakama kuu ya Tanzania ( The High Court of Tanzania) ni kwamba aliekua mgombea wa ubunge jimbo la Segerea bwana Fredrick Mpendazoe amefungua case rasmi ikiomba...
wana JF, naomba maoni yenu juu ya huu muungano. zanzibar wamejitangaza ni nchi, kama ni hivyo vipi wabunge kutoka nchi nyingine waje kuwakilisha tena kwenye bunge letu la bara mantiki yake ni...
Hata, Police wakininyima Kibali, maana naona Kova hakubali kutoa kibali cha kuandamana, wakati ni haki yangu kwani ni ya amani, nitaandamana peke yangu na bango langu kubwa la kupinga matokeo ya...
wana kaya kuna tetesi katika pita pita yangu kuwa mkuu wa kaya anataka kumpatia mh. 6 uwaziri fulani ilikumpoza na machungu ya kukosa nafasi ya kugombea uspika wa JMT kwa tiketi ya ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.