Chama Hakijui Kimeshinda Huko Zanzibar na Wanafikiri Wamependelewa Ushindi Huo. Fikra za Maskini Ndizo Zinaisumbua CUF na Watanzania Tumeshagundua Wamenunuliwa na CCM. Upinzani Atuhitaji CUF na...
Kitendo cha Kamati Kuu ya CCM chini ya uenyekiti wa Dokta (asiye na PhD) Jakaya Kikwete kupitisha majina matatu ya wanawake pekee na kulazimisha Spika ajaye awe mwanamke kwa kutumia wingi za kura...
ni joseph selasini wa rombo. lengo lilikuwa kujiepusha na lawama za kumbeba mramba mwenye kesi ya ufisadi. mramba alikuwa mshindi halali wa jimbo la rombo
huko vunjo nako mshindi halisi alikuwa...
Hii ni taasisi ambayo nathubutu kusema inaiangusha serikali machoni pa watawaliwa na inawalinda vigogo ambao enzi za mwalimu tengewaita wahujumu uchumi machoni pa sheria za nchi. Ili waponde nchi...
I have a question which is troubling my sincere thoughts!
Our country established a law to control and monitor campaign expenses by the parties, presidential, mpship, and councilor candidates and...
Uchaguzi umekwisha lakini yaelekea maumivu ndiyo kwanza yanaanza kusikika kwa wapiga debe wa CCM jijini mwanza ambao waliahidiwa kila mmoja Tshs 50, 000/= kwa kazi nzuri ya kuimba na kuhudhuria...
Njaa ni kitu kibaya yaweza kumfanya mtu uliyemwamini kwa siku nyingi akatenda jambo ambalo utashindwa kuliamini. Hebu fikiria mtu ameshinda urais znz na anafahamu kuwa kashinda lakini anaambiwa...
KUFUATIA TAARIFA YA SFO KUHUSIANA NA ISSUE YA RADAR KUWA UCHUNGUZI UNAENDELEA NA HAKUNA CONCLUSION ILIYOFIKIWA HUU NDIO NDIO INABIDI UWE MSUMARI WA MWISHO KWA JENEZA LA HOSEA. JK AKIENDELEA...
Nilishawahi kumsikia Bwana Sita akijitapa kuwa yeye ni Chuma Cha Pua. Alikuwa akihojiwa na kituo kimoja cha redio.
Sasa mafisadi wamemfanyizia.
Ninamuomba bwana Sita aoneshe uzalendo wake kwa...
Sikujua kama mtaipokea negatively idea ya kufungua akaunti kwa ajili ya dr. Slaa!hakika sikuwa na lengo baya, kilichonisukuma kuleta wazo hili ni kutokana na watu kudai kuwa dr. Anaweza kuona kama...
Tanzania's CCM party drops graft-fighting speaker
Thu Nov 11, 2010
* CCM says party wants female speaker
* Sitta had encouraged graft debate in parliament
* Seen as thorn in the side of CCM...
Salaam wanabodi,
Uchaguzi wa marudio katika majimbo 7 yaliyobakia unafanyika Jumapili hii, ambapo Chadema iko kwenye hatihati ya kulipoteza jimbo la Mpanda Kati kwa CCM, wakati CUF itajivunia...
Anne Kilango alipewa nishani ya heshima ya Martin Luther King na serikali ya Marekani kwa michango yake ya kuboresha utawala bora hapa nchini...............na mara tu alipoipata hiyo nishani...
Kwa nini rais anaapishwa Tanzania?
Miye naona ni kupoteza wakati tu, na ni kutekeleza 'routine' tu. Maana ya kiapo ni kuwa pindi rais anapokiuka hicho alichokiapa, mahakama itakuwa na dalili. Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.