1.Spika atakayelinda maslahi ya mafisadi.
2.Spika ambaye hataruhusu mijadala aina ya richmond,epa,meremeta,tangold,mikataba mibovu ya madini,vitalu vya wanyamapori n.k.....
3.Spika ambaye yuko...
Waziri Sitta amekamatwa kwa tuhuma ya kutaka kutoa rushwa na TAKUKURU mkoani Tabora. Sitta amekamatwa na fedha zaidi ya millioni moja na bahasha za kaki 140 na simu za mkononi aina ya Nokia. Sitta...
Kulikoni hapo jameni? Mbatia analia na Chadema!! Mzee wa Nji hii nae vivyo hivyo!! Hivi kwanini na wote wako jahazi moja?? kuna siri gani iliyo sirini hapo???:thinking:
Cabinet mpya hii hapa
Kikwete anatarajia kuchanganya sura mpya chache na za zamani nyingi kwenye baraza lake la mawaziri analotarajiwa kulitangaza wiki ijayo. Aidha huenda akapunguza ukubwa wa...
I am not in any way disputing the qualities of Mabere Marando, just simply posing the question of the best most likely candidate who could win uspika wa Bunge. This is Chadema's opportunity to...
UKISHANGAA nguvu ya mafisadi kuhakikisha wanamuweka speaker atakayewalinda, UTAZIMIA ukisikia baraza la mawaziri. Kwa mwenye kusoma nyakati ameshajua kina nani watakuwa mawaziri, kina nani...
Am not saying it will happen, but it can happen - Chenge kukutwa na hatia na kesi zake na jimbo la bariadi kuwa wazi, uchaguzi kurudiwa - Dr. kusimama kama mgombea bariadi - This will be the best...
Ati umefika wakati wa mwanamke kushika muhimili mmoja wa dola. Ratiba hiyo anayo nani? Ikiwa ipo, tuambiwe basi ni lini CCM imepanga mwanamke awe Jaji Mkuu. Si vibaya pia, CCM ikatanabaisha ni...
Mwaka huu wataumwa matumbo ya kuharisha mpaka basi.
Serikali haina hata wiki ilishaanza kusafisha mafisadi; na kuumbuliwa within the same week. PCCB wanaipaka mavi serikali ya JK just on the...
Uteuzi wa CCM kwenye kiti cha mkuu wa bunge unaweza kuwa ni nafuu kwa upinzani. Sisi hapa ni watu tunaofikiri beyond today, tuache kulalamika sana kuwa walioteuliwa watabana upinzani, what am...
Haya madudu ya sasa hivi ya CCM – yaani kujichanganya na kwa Mkuu wa kaya kuonekana kukaa kimya bila ya kauli yanaonyesha kwamba kuna vigogo wengine, mbali na Chenge na Dr Rashid waliopata...
TUME ya Taifa ya Uchagzu (Nec) imetangaza kuwa uchaguzi wa wabunge katika majimbo saba ambayo haukufanyika Oktoba 31 mwaka huu, utafanyika Jumapili ijayo.
Kwa mujibui wa taarifa iliyolewa na Nec...
Tunaona Hivi Karibuni CCM Wanachagua Spika wa Bunge. Hiki Chama ni Kichekesho Tupu. Katika Wananchi Wote na Hao Wanachama Wao Kila Leo Wanayarudia Majina Yaleyale Style ya Recycle Ideas. Anna...
Wakuu,naomba mwenye sababu zozote za msingi ni kwa nini Dr Slaa hakufanya mkutano na waandishi wa habari J2 iliyopita?Tunapenda sana kumsikia Mpambanaji wetu shujaa wetu.Je lini atatuhabarisha?
CCM ni chama kilichopoteza mwelekeo na mvuto kwa sababu ya kukumbatia ufisadi. Natoa angalizo mambo yanavyoendelea ndani ya CCM inaashiria kinaelekea ukingoni. Ubinafsi, jeuri na uzandiki ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.