Kuna njia nyingi za kuingia mjengoni na siyo lazima uwe na kundi maalum la uwakilishi. Hatimaye yule dada afisa wa benki kuu na mburudishaji wa wakuu, asiyeogopa hadhira katika mavazi yake kaingia...
NAJITOKEZA KUIPONGEZA CCM SIKU CHACHE BAADA YA KUCHAKACHUA KURA NA KUPATA KUSHINDA UBUNGE NA URAISI KILOMBERO,BEI YA CEMENTI YAPANDA KUTOKA 12,500-14,000 KWA MFUKO,NA HIYO NDIYO MAANA HALISI YA...
1. Kuwa karibu na wanachi hadi wakuzoee na kukuamini.
2. Ujichanganye na wananchi hadi wakuone ni mwenzao.
3. Utumie kwa uangalifu ushawishi wako na elimu yako hadi ilete mwanga mawazoni mwa...
Mwaka huu na kuendelea, kila baada ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, kufanyike upimaji wa mimba na Ukimwi kwa lazima.
Tunataka tujua kama kweli wabunge wote 95+ wa viti maalumu, wanakwenda...
KJ hana ubavu wa kuacha kumteau January Makamba kuwa Waziri kamili au Waziri Mdogo:
Najua JK akiona hii atakasirika sana, hapendi kuonekana anafanya kama mnavyotarajia.
Atamteua January kwa...
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA amesema, Chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani bungeni vyenye nia ya dhati ya kufanya hivyo.
Amesema, kwa maana hiyo CHADEMA imeacha...
hili suala la wabunge wa viti maalum binafsi linanichanganya. CCM chadema na cuf wanafurahia kupata wabunge hawa japo wanajua fika wamechaguliwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo (kuwa na...
Ndugu zangu Watanzania, baada ya kumalizika kwa shughuli za uchaguzi mkuu kundi kubwa la watanzania wanamshukuru Mungu kwamba uchaguzi umemalizika kwa amani na Tanzania inaendelea kuwa kisiwa cha...
Tume ya Uchaguzi imetangaza nafasi 104 ya wabunge wa viti maalumu kwa mgawanyo wake wa kuweza kuingazia uwiano wa wingi wa kura za ubunge. Hivyo baada ya kukokotoa uwiano wa viti hivyo CCM...
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amemteua Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa
Maalim Seif amewahi kushika nyadhifa...
Hi JF
Hivi wabunge wa CHADEMA waliochaguliwa ni wangapi? Ni yupi si mbunge katika orodha hii chini?
1. Wapinzani walioshinda hawa hapa
1.Halima James Mdee -Kawe/Chadema
2.Tundu Lissu -...
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa...
N aamini watendaji wako Mh. Rais Kikwete wanasoma taarifa mbalimbali kupitia jukwaa hili hivyo watakupa salaam zangu. Ninaandika haya kama raia wa Tanzania mwenye nia njema na maendeleo na...
Umati uliofurika unatisha. Ni maelefu kwa maelfu. Vuvuzela za wapinzani wake zilipigwa ili watu wasisikie vizuri lakini wapi, watu wamekomaa tu. Ama kweli Slaa anapendwa.
Baada ya kumaliza...
1. MANISPAA YA ILALA The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
JIMBO LA SEGEREA HALINA MATOKEO,
2.MANISPAA YA KINONDONI The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage...
Wana JF,
Katika kutafakari saaana na kuangalia ndani ya CCM kwa wale walio chukua form kuwania nafasi ya USPIKA wa Bunge(10). Nimepatwa na wasiwasi saana, kwani naonavyombo vyote vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.