Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

CHADEMA: Matokeo yetu yamehujumiwa Na Alfred Lucas - Imechapwa 03 November 2010 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatuhumiwa kuhujumu matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What is your take from this article! This is what I read perhaps initiated by January for his publicity but the international journalist gathered further information to complete sides and that...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Sote tunaamini kila mwana nchi halali ana haki ya kumiliki Mali na kuitumia kwa mujibu wa Sheria.. na kama atanyang'anywa mali hiyo basi iwe kwa maridhiano ya mwenye mali hiyo na kwakulipa Fidia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwanza niwapongeze wana JF popote mlipo. Nimejaribu kufuatilia thread nyingi katika forum hii na nimegudua kuwa watanzania wengi wanasubili nini Dr. Slaa atasema ili watekeleze. Hii inaonesha ni...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
sifa za kugombea uspika wa tanzania ni zipi?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein Wakati wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wanatarajiwa kuapishwa leo, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, ameteua wajumbe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika kampeni na uchaguzi walionekana kama wana umoja fulani, umoja wa kuzuia Dr. Slaa asishinde na CHadema wasifanye vizuri. Waliweza kuzuia Dr. Slaa asishinde lakini walijikuta wanapata kipigo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
i am so desperate, ndio nimekuja hapa JF, in hurry, fury, angry, pain, aaaaaahhhhhh yaani CCM, juzi wametuibia kura ya kipenzi chetu Dr. Slaa. hata watu hawajakaa sawa kwa maumivu, wamemtakasa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SALAAM ZA PONGEZI KWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA USHINDI WA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2010 – 2015 ---- Chama cha Mapinduzi Tawi la UK kinatuma salaam za pongezi kwako Dr...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tunajua NEC Iliundwa Baada ya Bunge Kuunda Huu Utaratibu Kutokana na Katiba. Tunasisitiza Bunge Kama Linajali Uchaguzi Ulienda Vipi, MP's should summon Makamba and All Involved During 2010...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Weka hadharani ripoti ya Richmond hasa ule upande uliouzuia kuiokoa Serikali. 2. Tujuze Watanzania kuhusu ule unga wa Bungeni. 3. Waeleze wazi kuwa huzitaki siasa za majitaka. 4. Pambana na...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
AMANI NA IWE KWENU WANA GREAT THINKERS! KWA MUJIBU WA TBC TAIFA, JUMLA YA NAFASI 88 YA VITI MAALUMU IMETOKA NA WENGINE WATAONGEZWA BAADAE. KTK LIST HIYO CCM NI VITI 65 NA CHADEMA NI 23. MENGINE...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
  • Closed
Jamani nasikia yule mtangazaji aliyewekeana bifu na Mheshimiwa Sugu jina lake limekosewa liko kwenye majina ya viti maalum ya wanawake. Sina uhakika rafiki yangu MS kama yumo au kazi yake ilikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania walipiga kura tarehe 31 Oktoba 2010. Uchaguzi huo ulikuwa muhimu kwa nchi hiyo hasa kwa kuwa chama tawala hakijawahi kutolewa madarakani tangu ilipopata uhuru mwaka 1961...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapo watu ambao wanadai kwamba kura za Urais zimechakachuliwa,kwamba labda Jakaya Kikwete hakushinda kabisa,kwamba labda Dr. Slaa anasema kweli kwamba yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo katika pilikapilika zangu za kutaka kuwahi kazini nilikuwa na akili moja tu kichwani, "kununua na kusoma MwanaHalisi". Nikashuka kituo cha daladala. Kituo cha kwanza kwa muuza magazeti...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ASKOFU wa Kanisa la Evangelical Brotherhood Church Of Tanzania (EBCT), Rabbi Mwakanani, amempoza mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa, kumtaka...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Taarifa zilizotufikia zimeeleza kwamba, Rais wa Zanzibar, Dr Ali Mohamed Shein amemteua Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, na Balozi Seif Idd kuwa Makamu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi nilipitwa kidogo na huu uchaguzi kwani nchi niliyohamia iko kushoto kidogo na dunia na ni mtanzania peke yangu hapa. Ebu nijulisheni nyie mliopiga kule huko USA, UK, kenya, Saudi Arabia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni jana nimetoka msibani Bukoba. Habari zinasema mbunge wa Karagwe hawezi kukaa jimboni kwake kuepuka hasira za wapiga kura. Migomba shambani kwake imekatwa na yeye amesafirishwa kwa escort ya...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom