BAADA ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, Chadema imeibuka kidedea kwa nafasi za ubunge katika majimbo mawili ya Maswa Mashariki na Maswa Magharibi Mkoa wa Shinyanga ,viongozi wa CCM wilayani humo...
kama mashabiki wa jk walisherehekea ushindi wake kwa sbb tu aliwashinda akina dk ws na wenzake, basi ninaweza kusema walifaidi unono huo kwa 100%.
ni ukweli usiopingika kwamba sekunde ya kwanza...
Pamoja na ushindi wa kuridhisha wa CHADEMA, ulioniduwaza zaidi ni wa NCCR Mageuzi. From no where, chama tulichokuwa tunakiona kimekufa, kimeweza kuibuka na kubeba majimbo matatu (kama sio mawili)...
Jana nillikuwa katika jimbo la uchaguzi la karatu na nilikutana na watu wengi wenye maswali yafuatayo.
1.Je matokeo yaliyotangazwa na tume nec yanatofauti gani na matokeo kwenye vituo?
2.Je Dr...
Dr Shein amemteua maalim Seif kuwa makamu wa kwanza wa rais na balozi Seif Idd kuwa makamu wa pili wa rais... government of national unity in the making
Monday, 08 November 2010 01:07 0diggsdigg
Dk Willbrod Slaa
Salim Said
JOPO la viongozi wa dini limefanya ziara ya ghafla kwa aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wiilibrod...
Wana JF mi huwa najiuliza CCM ina mali nyingi ambazo wazazi wetu na sote tulizichangia km vile viwanjavya mipira (Jamhuri, kirumba nk) ofc nyingi tu. Je kuna uwezekano zikarudi serikalini maana ni...
Watanzania wamebahatika kuwa katika nchi yenye kila namna ya utajiri. Mali asili nyingi zinatumiwa na watu ili kujiingizia kipato.
Moja kati ya maliasili zetu ni maziwa ambamo mwamo tunavua...
Ndugu zangu wote mliopenda na kutamani kuiona Tanzania mpya, nawapa hongera kwa kazi nzuri sana ngumu ambayo mmeifanya.
Nimepokea huu ujumbe mzuri na naamini utawafaa katika kipindi hiki...
Nimefuatilia nyendo za mbunge mchaguliwa wa jimbo la Monduli Edward Lowassa tangu alipofika Arusha saa chache kabla NEC haijatangaza mshindi wa kiti cha ubunge wa jimbo la Arusha mjini. Inaonekana...
Wana JF;
Nimerejea baada ya safari ya takribani wiki mbili ili na mimi niweze kutumia vema haki yangu ya kupiga kura. Nikishapiga kura naondoka tena nikaendelee na harakati za maisha.
Nimesikia...
Halmashauri nane nchini zitaongozwa na vyama vya upinzani baada ya kupata viti vingi vya udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa wiki iliyopita.
Halmashauri hizo ni Karatu, Manispaa ya Moshi, Kigoma...
Dr Willibrod Slaa of the Chadema must swallow his vain pride and accept the verdict of the Tanzanians in the recently concluded General Elections.
Despite a few minor glitches that...
Opposition MPs First 11: A team of rivals?
Following the just concluded general election (which the whole world knows was clearly rigged), Tanzania is set to have a formidable team of around 100...
Kauli ya JK jana kwenye hotuba ya kuapishwa kwake ambapo alikiri upinzani uliwasumbua na ilibidi wajipange upya na kufanya kazi ya ziada ili kushinda uchaguzi huu ulimwelewaje?
Mimi tafsiri yangu...
Ndugu Wana JF,
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu wa karibu wa maalimu Seif Sharif Hammad ambae anaitwa Mr Ismail Jussa Ladhu kama ilivyo andika kwenye facebook page yake hapa chini.
Ismail's...
Hii Habari hapo chini ni safi sana nimeitoa huko ippmedia.
1) Mimi nina support mapendekezo ya a much more independent Electoral Commission
2) Kuungana upinzani ili kuiondoa CCM kwani inanuka
3)...
Utawala wa kifisadi hapa Tanzania mlezi wake ni CCM. Ushindi wa CCM hutegemea sana ufisadi hivyo ni vigumu sana chama hiki kuondoa ufisadi Tanzania. Wakati wote wa kampeni hatukusikia wagombea wa...
Pole sana na hekaheka za uchaguzi na majukumu mazito ya kuliongoza Taifa letu.
Ni dhahiri kwamba kwa sasa utakuwa unaipanga serikali utakayofanya nayo kazi kwa miaka mitano ijayo.
Na hili ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.