Chenge apata pigo jingine NEC
Fredy Azzah
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ufafanuzi wa viti sita vinavyosubiri uchaguzi wa majimbo saba unaotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo, huku...
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF...
Jamvini!!
Mbona kimya hiki kinanipa wasiwasi? Huyu Mpambanaji wetu Dr Slaa yuko huru na salama kweli? Watanzania chungu nzima hatukukubaliana na matokeo ya Tume ya Uchaguzi, lakini mbona subiri...
Wakati PCCB wamemshafisha Chenge kwenye kadhia ya Radar kuwa suala hilo limekwisha na Chenge hahusiki, SFO wenyewe wamekanusha kuisha kwa suala hilo na kueleza litatinga mahakama kuu ya Uingereza...
Mtikila: Viongozi wa dini wanafiki
na Andrew Chale
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ameponda hatua ya ujumbe wa viongozi wa dini nchini kumtaka Dk...
Watanzania tuamke,kasoro hizi zilikusudiwa kabisaaa
1. Iweje karatasi ya kupigia kura isiwe na serial number ili ioane na ile inayobaki katika kishina cha kitabu? maana ikitokea inahitajice...
CANADA has congratulated Tanzania for conducting peaceful general election and applauded President Jakaya Kikwete, on his re-election for the second and last term in office.
In a statement...
MAY PEACE BE UPON YOU GREAT THINKERS!
HEBU MTU ALIYEKO DODOMA AMA BUNGENI ATUJUZE HALI YA HUKO IKOJE JAMANI. NIMESIKIA KWENYE RADIO WAKICHAMBUA TASWIRA ZA BUNGENI NA WAKAELEZEA KUA MH. SUGU...
wasalaaam wadau,
Naona kuna kama kafukuto ka mambo ya kugomea uongozi wa upinzania bunguni kwa chadema ambao kwa data zilizopo ndio chama pinzania. naomba kutoa mtazamo wangu juu ya hili...
Chenge yupo sahihi katika tuhuma zake dhidi ya Sitta?Kama wagombea nafasi ya spika ni hao wawili,kura yako ungempa nani?mie ntakuwa msimamizi wa uchaguzi huo!
Hongera baba kwa kuchaguliwa, kuteuliwa kisha kuapishwa kwako kuwa rais wa hii Jamhuri yetu ya Tanzania,
Hatuna Rais mwingine badala yako, kwenye ile hotuba fupi uliwaasa WAANDISHI na wale...
Inawezekana wengine hatukumbuki na msinicheke.
Najua hoja ya ufisadi wa EPA ililetwa bungeni na Dr. Slaa lakini Samwel Sitta akaikemea kwamba bunge haliwezi kujadili hoja zenye ushahidi wa...
ndugu si vibaya nikiwadokeza namna nilivyofanikiwa katika uchaguzi huu na nilivyopangua hoja za wapinzani wa CCM jimboni. leo nitaanza na sera ya elimu bure kama ilivyonadia na chadema.
mimi...
Ndugu Wana JF,
Napenda kutoa pendekezo kwa uongozi wa Chadema kuanzisha Database ya computer itayotunza kumbukumbu muhimu za wanachama wake kama vile Majina kamili, Anwani za mwanachama, Number...
wana JF,
nimejiuliza hili swali nimekosa jibu, nikaona si mbaya wacha nilisogeze sebuleni, kama inatokea mmoja kati ya watu waliothibitika kwa ufisadi akaomba uanachama wa chama chetu (CHADEMA)...
Nimependa sana mijdala inayohusu vyama vilivyogombea upinzani uliojitokeza ni wa juu sana unaoimarisha demokrasia ya nchi yetu, sikufurahia kebehi na matusi ambavyo vlinionyesha udhaifu binafsi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.