Kama ilivyotegemea, uchaguzi umeisha. Lakini jambo moja ambalo ni baya na la kinafiki, ni kitendo cha top brass ya Chadema kujaribu kumtosha mwenzao. Slaa. Kumtosa kwa maana ya kwamba kuteuliwa...
Kuhudhuria kwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe wakati wa kuapishwa kwa rais Kikwete kunaelezwa na wanazuoni huenda ikawa sababu ya nchi nyingi hasa za magharibi kusita kumpongeza rais Kikwete...
Salamu wana JF,
Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanaofatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news...
Wakuu sio mbaya tukawataja wana JF waliogombea nafasi mbalimbali na matokeo yao ili tujue ni namna gani hili jukwaa letu limeshiriki katika kutoa wawakilishi.
Naanza:
1.Dr W.P.Slaa-aligombea Urais...
WanaJF nimeshangazwa sana na kikao cha leo ndani ya Bunge la 10 ambapo mh.Ana Abdallah alikuwa mwenyekiti.
Hapa Mabere Marando alikuwa anaomba kura za wabunge zitoshe kuwa Spika ila Mh.Ole...
Huu ni UPUUZI, Watanzania tuko Million 45.
Waliojiandikisha kupiga kura eti ni Million 19
Waliopiga kura ni Million 8
Walio mchagua rais ni million 5
swali, Je Million 11 kwanini hawakupiga kura...
Wanajanvi naleta Mada hii mnisaidie niweze kuelewa hili! Hivi Marekani na Uengereza zinapofanya chaguzi zao kwanini haziombi kupelekewa waangalizi wa kimataifa kutoka kama Africa au Asia! Lakini...
Please people in the know, does anyone have news or feedback of what happened to this issues
Ile issue ya vyoo vya shimo kwenye kata tano 3.2 billion, je wameshafatilia, je muusika...
Huwezi kuwako kwenye serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar mkaongoza wote kutekeleza ILANI ya CCM ya Uchaguzi halafu ukaja kwenye Bunge la muungano ukapinga. Kwa hiyo "technically" CUF sio...
Tunahitaji Rais mpya, Tumaini Jipya na akili mpya na ni kweli kabisa kipindi hiki ndio cha kufanya mageuzi ya uongozi, tumewajaribu na sasa wameshindwa kuna kila sababu ya kufanya mabadiliko
Anayetaka kuwaamini ccm katija jambo lolote ni juha. Kura zote za ccm zimeenda kwake na marando kapata zote cdm na chache za wana cuf walioasi maelekezo ya wakubwa wao.cdm jueni kuwa mko peke yenu...
Kwa heshima ambayo Dr. Slaa imejijengea katika taifa letu na hata kwa wabunge wa Chadema na CCM kuna uwezekanno mkubwa kuwa Chadema watatoa spika wa bunge mwaka huu.
Dr. Slaa anao mtandao mpana...
CCM Kweli Haina Sera. Haina Hoja. Haina Uongozi. Haina Support. Haikubaliki na Wananchi. Hivi Karibuni Wamechukua Uongozi kwa Mabavu. Wiki Hii Wanamweka Mwanamke Kama Spika. Hii ni Dharau kwa...
Kwa mara nyingine tena mtandao wa mafisadi umejipanga. Tena umejipanga kweli.
Wanakuja na Spika wao wa kupika. Wanakuja na "Minority Opposition". Haya tunayaona kwa sababu yanafanyika mchana...
Kuna mazungumzo yanaendelea kumuomba lowasa akubali kujiunga na baraza la mawaziri lakini kwa sasa katika nafasi ya uwaziri wa kawaida na si uwaziri mkuu. kwa mwelekeo wake inaonekana yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.