MWENYEKITI mwenza wa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (REDET) na mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Siasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, amesifu kampeni za aliyekuwa...
Ndugu zangu wana JF, na wapenda maendeleo kwa ujumla.
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwenu kwa ushiriki weni huku kwenye mijadala ya humu JF na naomba tuendelee na mjadala huu.
Naomba...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kutoa elimu kwa wapigakura kwa njia ya kutoboa siri zote za ufisadi zinazoigusa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia wiki ijayo...
By Waandishi wetu
20th November 2010
Achochea walibwagwa ubunge wakatae matokeo
Pia wa udiwani, aagiza wote wafungue kesi kortini
Gharama zote za mawakili kubebwa na CCM
Yusuf...
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane...
Tumeandamana kupinga maamuzi ya nec kumtangaza Kikwete kuwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,, Chadema haina ugomvi na CCM, bali inaugomvi na Matokeo na uchakachuaji uliotokea Kipindi cha...
The country is eagerly waiting for President Jakaya Kikwetes announcement of his new Cabinet, in which he is expected to make significant changes to his old line-up, swapping the holders of some...
Baada ya Mheshimiwa Tundu Lissu kuwachemsha Wagombea uwakilishi wa SADC kwa maswali ya kitoto na woote kushindwa kutoa majibu,, Kwa mujibu wa Wanajamii wengi wanasema Kama Mmoja anashindwa kujua...
Kama bado una kumbukumbu na hotuba ya JK aliyoitoa mara baada ya kuapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; hivi majuzi tu, aliahidi kuwasiliana na NEC ili kuona uwezekano wa...
Wadau nini kimetokea kwa CCM mkoa wa Dar es Salaam kutangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika tano?. Kiufupi katika siku chache ambazo nimeangalia Channel Ten taarifa ya habari nimekutana...
Wakawaambie:
Wahisani: Nyie siku ile mulijifanya kutoka nje ya ukumbi wakati Mkwere anahutubia bunge.........Why?
Chadema: Alichakachua kura za wananchi. Ni Rais batili.
Wahisani: Leteni...
Vipo vyombo ya habari vinajaribu kuishawishi jamii kuwa kitendo cha wabunge wa CHADEMA kususia hutuba ya JK si cha kiungwana. Lakini jamii inamtazamo tofauti kabisa na hawa vibaraka na wa mafisadi...
UFAFANUZI ZAIDI TOKA KWA DR SLAA KUHUSU MTILILIKO MZIMA WA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI NA KUSUSIA HOTUBA YA NDUGU KIKWETE
by George Maige Nhigula Jr on Saturday, November 20, 2010 at 11:18pm...
Ndugu wana Jf,
Nijambo la kujsikitisha kwa vyombo vyetu vya habari hapa Tanzania.Sijui niseme ni Vyombo vya habari au ni watu wenye taaluma zao.
taaluma hii inaelekea kupoteza mshiko kwakuwa...
Kila Leo Tunaona Hivi Vyombo vya Habari Vikireport Habari za Uongo na Kugeuza Ukweli ili Kuletetea Corrupt Ideas za CCM. Ni Kweli Wanadangwnywa au Wanalazimisha Kuandika Uongo? Inawezekana...
Ninawasihi sana watu wa Tume kuhakikisha matokeo yaanza kutoka mapema jamani. Asubuhi inakuja, watu wanaamka hakuna matokeo, mnawapa wasiwasi na kuanza kutengeneza tension, mtaleta polisi na...
Vyama vya CCM, Chadema na CUF kila kimoja kimeongeza viti viwili vya ubunge kutokana na matokeo ya uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibuni, kwa sasa kila chama kimefikisha wabunge
CCM 260...
Dear Lawyers in JF,
We all know that, once declared as a winner by the National Electoral Committee, there is no possibility to file a case against president on any issue regarding to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.