Gazeti la Majira la leo limeripoti ya kuwa wiki iliyopita CCM Wilaya ya Arusha ilimweka kiti moto Dr. Batilda na kumlaumu kuwa mikakati yake ya kuligawa jimbo ndiyo iliyochangia CCM kulipoteza...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM wakati wa kampeni zake aliwahi kusema maneno haya baada ya kuulizwa swali na mtanzania mmoja Je Mheshimiwa JK watanzania wakukumbuke kwa lipi katika uongozi wako...
Vitendo vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni,jana liliibukia Iringa mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya chama cha Chadema,Peter Msigwa kukuta...
CCM Temeke wachongeana kwa JK
Thursday, 02 December 2010 21:36
Geofrey Nyangoro
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete ameandikiwa barua inayowataja...
Ukweli unabaki ile minofu waliokuwa wakichukua wazungu na kutuachia sie kula mabaki ilituathiri sana sana hata kwenye ufahamu wetu na wattoto zetu mashuleni..nasema hivi nikiimanisha kitendo cha...
Leo mchana kupitia TBC1, wamemtangaza kijana mmoja aliyesafiri kwa baiskeli kutoka Geita hadi Dar kwa lengo la kumpongeza JK kwa ushindi wake....! Great Thinkers, hii imekaaje? Mbona mimi naona...
Nimesoma makala hii hapa chini kutoka Mwananchi. Kuna jumla ya kesi 32 dhidi ya ushindi wa wabunge wa CCM. Kuna kesi nyingine ambazo ni strong lakini hazijaongelewa, kwa mfano Kibaha, Kilombero...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, yupo jijini Mwanza kuongeza nguvu kwa madiwani wa chama chake kumpata meya wa jiji.
Katibu wa Chadema Mkoa Mwanza...
Ninashindwa kuelewa hivi mtu mmoja ataweza kujirundikia kazi kibao wakati kuna watanzania wengi wapo vijiweni.......................Mustafa Akunaay ni Mbunge kupitia Chadema wa Jimbo la Mbulu...
MBUNGE wa zamani wa jimbo la Iringa mjini na mkuu wa mkoa wa KIlimanjaro ambaye alikuwa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Monica Mbega amefungua kesi...
Tanganyika Law Society Observer Mission to the October 31, 2010
General Election in the United Republic of Tanzania
Interim Report Dar es Salaam, November 5, 2010
1. Introduction
The...
Umeibuka mgogoro mkubwa kati ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara na kamati za siasa za wilaya tatu za mkoa huo na kusababisha zaidi ya madiwani wateule 40 wa chama hicho...
Wadau,
Kuna dada mmoja toka familia ya Rockerffeller amemvamia Rais Kikwete kwenye facebook Yake. amewachamba na wapambe wake kisawasawa. anadai familia yake imetoa michango mingi tanzania na...
kutokana na mdahalo wa jana nimesikia kua kuna wabunge kumi waligoma kutoka bungeni wakati wabunge wa chadema wakitoka nje ya bunge, yalielezwa na Hamad akijibu hoja ya Mbowe kuwa CUF inaonyesha...
Leo hasubuhi clouds kipindi cha magazeti nimesikia waziri wazamani wa mambo ya ndani ameenda ofisini kwa mbunge wa mwanza nymagana na kung`oa vitasa na kubeba picha ya rais kwa madai kuwa...
Serikali ya shirikisho la wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOSO) imekanusha taarifa iliyotolewa na msemaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma na waziri wa sheria na katiba wa chuo kikuu cha...
Ndugu wanajamii Report ya Gharama za uchaguz zimesha kamilika na Lengo la kuifungulia Kesi CCM kuhusu Gharama za uchaguzi mbona naona kama limeyeyuka? au Chadema walituyeyusha jamani,,
Mi naomba...
Katika historia ya nchi yetu, bunge la 10 litakuwa bunge la umuhimu wa kipekee!!! kutokana na miongoni mwa sababu ni hizi hapa chini:-
1) Ni bunge la kwanza kuwa na serikali mbili, moja ndani ya...
Wana JF mnaikumbuka hii report attached hapa chini?? Tunapojadili uwezekano wa kuunganisha kambi ni vizuri kujua kati ya CUF na CDM ni chama kipi kimejenga upinzani wa kweli kwa serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.