CUF kuweka mambo hadharani leo Friday, 17 December 2010 09:19 Na Waandishi Wetu, jijini
CHAMA Cha Wananchi (CUF) leo kinatarajia kuweka mambo hadharani katika viwanja vya Temeke mwisho ambapo pia...
Hi there, can we discuss the issue of ethnic groups in higher learning institutions and several organizations. Cku hizi kila mahali kuna chama cha kabila fulani. Hii c kwamba tunajigawa kimakabila...
Kanisa Katoliki lagoma kuzika
Imeandikwa na Peti Siyame, Sumbawanga; Tarehe: 14th December 2010 @ 08:00
KANISA Katoliki Parokia ya Familia Takatifu Jimbo la Sumbawanga, limegoma kuendesha ibada...
Gazeti la Uhuru linalomilikiwa na CCM lina habari kuu leo isemayo.....NEC: Gazeti latumika kupandikiza uchochezi...................
Habari hii imekuja baada ya gazeti moja linalosadikiwa kuwa ni...
Kwa wanaomfahamu samweli luangisa aliyekuwa meya wa Bukoba kwa zaidi ya miaka 20 hatimaye amebwagwa na Bw Anatory Aman katika kinyanganyiro cha kugombea kupitria CCM
Luangisa aliwahi kuwa mkuu...
habari niliyoipata kutoka manispaa ya morogoro ni kwamba katika uchaguzi uliofanyika masaa mawili yaliyopita ya umeya, Mh. Amiri Juma Nondo ndio amekuwa meya mpya wa Manispaa hiyo akiwabwaga...
Mchakato wa kuwapata mameya,manaibu mameya na wenyeviti wa Halmashauri nchini kupitia CCM ,Unaendelea kukipasua chama hicho baada ya diwani mwingine wa chama hicho kujiuzulu wadhifa huo...
Africa has experienced few continuing hours where a single country has two presidents who have each proclaimed to have power over the nation. Its an ambigous situation where outgoing president...
Magazeti yamepambwa na habari hii.............
Gazeti la Uhuru lina kichwa cha habari kisemacho...............Umeya Dar: Dr. Massaburi aibuka kidedea......................
Huku gazeti la...
Tukianza Kuchambua Kila Kona na Kutafuta Raslimali za Nchi Yetu ya Tanzania Unaweza Ukapatwa Butwaa. Nchi Yetu ya Tanzania Iliwepewa Hizi Raslimali ili Ijijenge na Kuwa Nchi Bora Duniani. Wengi...
Wanachama wa CCM Mtibwa wanajuta
Imeandikwa na John Nditi, Mvomero; Tarehe: 15th December 2010 @ 20:30
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mtibwa, Tarafa ya Turiani, Mvomero mkoani...
Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii...
Kijarida hiki wiki hii kimekuja na mpya mbili zinazoonyesha kumbe waislamu wanataka CUF ishinde.
1.Lipumba afunika msafara wa kikwete. Wanadai kuwa watu wengi hivi sasa wameelimika na wanahitaji...
CCM Walitueleza Watanzania Tushikane Mikono na Wao Kutafuta Mapinduzi ya Ukoloni. Sasa Mapinduzi Mengine Wameyaleta Baada ya Mkuloni Kuondoka:
Kuongeza Mafisadi Tanzania
Kuongezeka Kwa Rushwa...
Waziri wa Afya Mh. Mponda (Mb) wa kwanza kushoto mwenye suti nyeusi akitembezwa kuangalia huduma za afya katika hospitali kubwa kuliko zote na ya kisasa ya Muhimbili Dar-es-Salaam.
Hapo tunaona...
Leo Wananchi Tukiangalia Makosa na Uhaini CCM Imeifanyia Tanzania, Tutaona Hata Mara Moja Viongozi wa CCM Hawatoi Msamaha Wala Kukubali Wamewaumiza Wananchi Wao. Tukianzia Rushwa, Umaskini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.