Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

UCHAGUZI 2010: USHINDI WA JAKAYA KIKWETE, SHUBIRI KWA CCM Mwaka 2005 wakati Jakaya Mrisho Kikwete akiwania kuwa Rais wa Nne wa Tanzania, aliendesha kampeni za ndani ya CCM kwa hila, mbinu na njia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi karibuni tulimsikia mwenyekiti wa kamati ya tawala za mikoa na serikali za mitaa Mh. Lyatonga Mrema akitoa adhabu kwa Halmashauri ya Rombo. Kwa sheria hii ni kinyume na ni nje ya mamlaka ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajameni naomba mnisaidie katika nchi yetu nimekuwa nikisikia hiki cheo cha waziri kivuli nasema hivyo ni baada ya kusoma na kuona runinga zikisema kuwa kuna mbunge mmoja wa chama fulani kutoka...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
By JENERALI ULIMWENGU Posted Sunday, May 22 2011 at 10:47 So, some people planned an opposition party but are still in CCM. So what? The Tanzanian political class is not necessarily...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
...Wiki iliyopita kumetokea mahuaji ambayo kila mtanzania mpenda haki na mzalendo atakuwa ameguswa sana na vifo hivi...Ni vifo vya watanzania wenzetu wachumiaji juani kama sisi walipopoteza uhai...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningependa kujua waziri kivuli wa Elimu wa Chadema ni nani? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiherehere chao kimewaponza.walikuwa wameweka bango kubwa kikwete akiwa na maaskofu wa kkkt,ALEX MALASUSA, na ELISA BUBERWA, wakaandika eti tunaheshimu uhuru wa kuabudu. Mnamuona kikwete? Maaskofu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu chaguzi mbalimbali Tangu zile za 2005 na 2010 na kuona mbinu chafu zinazotumiwa na chama Tawala CCM tangu wakati wa kampeni, kwenye tume ya uchaguzi, wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti ndugu zangu em toeni uamuzi coz mpaka dk hii hajafa mtu kama alivyotabiri huyu mkali wa majini
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Imebainika kuwa kushindwa kwa Chama cha Mapinduzi katika kuongoza Taifa hili kunatokana na uzee uliokizunguka chama hicho kila kona. Viongozi wake wote wakuu ni wazee wa zaidi ya miaka 60...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Nionavo mie tatizo la umeme hapa nchini ni sawa na la chakula. Chukulia mfano huu, mkulima mdogo ana eneo pana la kulima karibu na mto lakini anatumia jembe la mkono kulima sehemu ndogo tu kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namkubali sana Nyerere kutokana na jinsi alivyokuwa kiongozi shupavu mwenye kuweza kumnyamazisha na kumpotezea yeyote yule,kipindi chake nidhamu ilikuwepo bwana.Watu walikuwa wapigwa ban za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*Awaagiza watendaji waiokomeshe ili CCM ishinde 2015 *Asisitiza nidhamu ya matumizi ya fedha za walipakodi *Makamu wa Rais: Ufisadi ulipunguza ushindi wa CCM Na Pendo Mtibuche, Dodoma RAIS...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika gazeti la Mwanahalisi la leo, anaonekana mtoto anayekadiriwa kuwa na miaka 12 akiwa na bango likisema "KIKWETE KAMA NCHI IMEKUSHINDA NIPE MIMI" nionavyo hii ni kejeli iliyopitiliza katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa napitia matokeo ya uchaguzi Mkuu katika ngazi ya Ubunge kwenye tovuti ya NEC. Nimekutana na hii hapa,Je ni sahihi? TUMBE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimepata habari kutoka kwa swahiba wangu aliye Bukoba kwambapicha za JK zilizokuwa zime4bandikwa kwenye nyumba ambazo ni maduka na sehemu nyingine za biashara zimeanza kuondolewa na wenye biashara...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
May 12, 2011 BAADHI ya wakazi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Mpanda mkoani Rukwa, waliangua vilio baada ya Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi kutangaza nia ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wa JM, https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/tongue.png :tonguez: Kwa kweli hali ya watu waliounguziwa maeneo yao inatisha na hawana msaada wowote.Tokea ijumaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kweli unaipenda nchi yako basi utatoa maoni yako ya chanya na si hasi sababu za ccm kufika ukoomo wa kuongoza nchi ni:- a) mosi ccm kama chama kiweruhusu na kuwakumbatia viongozi ambao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wanamaendeleo nawasalim, jamani 2015 sio mbli hata kidogo.hvi kuna mikakati gani ya kuhakikisha chadema tunachukua nchi. nazungumzia kichama. achaa na mabadiliko ya katiba tunayopigania, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom