Naomba ridhaa yenu ndugu watanzania,niwawakilishe mjengoni kwa miaka mitano kuanzia 2020-'25 kupitia jimbo la Nkenge,Kagera. Thn nitakua sawia kuwataka ridhaa yenu kuongoza nchi mwaka 2025-.. Roho...
RAIS Jakaya Kikwete amesema ukuaji wa kasi wa uchumi na maendeleo katika Bara la Afrika unakwamishwa na ukosefu wa fedha za kutosha za kugharimia miradi ya maendeleo.
Kwa mujibu wa taarifa...
Nashindwa kutambua kama ikitokea mwaka 2015 wamechukua nchi kwenye uchaguzi huo, je wana uwezo kiasi gani wa kuongoza taifa hili masikini la kizazi kilichokata tamaa na kupoteza uelekeo. maswali...
Nashindwa kutambua kama ikitokea mwaka 2015 wamechukua nchi kwenye uchaguzi huo, je wana uwezo kiasi gani wa kuongoza taifa hili masikini la kizazi kilichokata tamaa na kupoteza uelekeo. maswali...
Written by amini // 19/06/2011 // Habari // 4 Comments
Mafuta ya Z'bar nimali ya Muungano jee Gus ,Almasi,Zahabu,Makaa ya mawe na minaral nyengine za Tanganyika ni mali ya Muungano?
Mafuta ya...
Nakaaya Sumari amerudisha kadi ya Chadema jioni ya leo na kumkabidhi JK kwenye mkutano wake ulio fanyika leo mkoani Arusha, JK amempongeza sana kwa kitendo hicho na kumwambia karibu mama CCM...
Ni kweli hata wabunge wa viti maalumu wa chadema wanachngia point kuliko wabunge wa viti maalumu wa CCM kama akina ESTER wanachangia kusifia tu. Wabunge wa CDM hongereni endelezeni mapambano...
kabla ya kifo chake mwalimu nyerere alipata kuamka baadahi ya mamabo ambayo hivi sasa ynajitokeza wazi wazi mathalani:-
1) wakati wote wa maisha yake mwalimu nyerere alisistiza kuhus umuhimu wa...
Kwa udhaifu wanaouonyesha wabunge wa chama cha magamba hakika, wasitarajie kurudi tena mjengoni, nalileta hili kwa wale wote wanaopenda kuwawakilisha wapiga kura majimboni mwao wanakotoka, tiketi...
Hivi karibuni Msanii Nakaaya Sumari aliamua kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kwa lengo la kufanya siasa.Pamoja nakujiunga na chama hicho lakini Nakaaya anatarajia kugombea...
Wanajamvi,
Jana nilikuta mabishano makao makuu ya chadema. Wengi wao ni wajumbe wa Baraza kuu ambao wanaamua hatma ya mgombea urais wa chadema 2015. Wanasema Rais ajaye atatoka chadema. Lakini...
Mh: Mussa Azzan Zungu katika uchangiaji wa bajeti ya serikali aishauri kambi ya upinzani kukubaliana na kuunga mkono serikali katika masuala yenye manufaa kwa nchi jambo litakalowafanya kupata...
Natumai sifa za watu hawa zinajulikana hapa jamvini.1. E.Lowasa-waziri mkuu mstaafu.. mbunge wa monduli.2. F.Sumaye-waziri mkuu awamu ya 33. H.Mwinyi(PhD)-waziri wa mambo ya ndani, ulinzi na...
Kiukweli mimi nimekwisha choshwa kabisa na hawa CCM yaani sina hamu nao hata kidogo.Nimekuwa nikiwaona CDM kama mkombozi wa hili jahazi ambalo linakaribia kuzama.Lakini nimeanza kupata wasiwasi...
Friday, June 10, 2011
*Mgogoro wa Arusha ni urais wa 2015
*Wenyeviti UVCCM 11 kumfuata Millya
*Wenyeviti wilaya wamwandikia Mukama
Na Waandishi Wetu
MBIO za urais wa mwaka 2015 ndani ya Chama...
nilipata bahati kukaa karibu na viongoz wa cdm juzi arusha waliokuwa wakimshangilia mbowe ndipo jose aliekuwa amevalia koti la jinsi mita tate toka aliposimama mbowe akasema 'lazima tuhakikishe...
Habari wana jf
ninaye mjomba wangu mjeda kikosi cha navy nilikuwa sijaonana naye tangu uchaguzi uishe.
Basi nilianza kumuuoiza kuhusu siasa wao kama wajeda wanamsimamo gani na hali ilivyo sasa...
Baada ya chadema kuwa chama kikuu cha upinzani, nilitegemea kuwa ingeanzsiha mara moja utoaji mkubwa wa elimu ya uraia kwa wananchi ikiwa na lengo la kuwafanya wananchi kutambua na kuelewa kwa...
Tunasikitishwa sana na style ya uongozi ya Mh. Mdee ( Mbunge wa kawe). Wakati anaomba kura alikuwa mnyenyekevu ila baada ya kupata ubunge amekuwa sasa malkia kwa wananchi wake badala ya...
He is so powerful, well connected, collected, he knows his targets, his enemies, timing well for presidential candidate to be thru CCM, i see him from a distance kashajipanga vizuri, wabaya wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.