Waungwana,
Ni wazo langu jamani kwa Chadema, nadhani Ndugu Halima Mdee anahitajika kwenda Igunga kuwavuta akina mama ambao bado hawajaamua hata na wale ambao hawaeleweki
Chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)kinachoshiriki kugombea nafasi ya kiti cha ubunge iliyochoachwa wazi na rostam azizi wa ccm kitaangushwa vibaya kutokana na kutokuwa na madiwani wa...
ZIKIWA zimesalia siku nne kabla ya wananchi wa Igunga kuamua nani atakuwa mbunge wao, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa amenasa siri nzito ya jinsi...
Please could all voters show the world that we can have a peaceful election free of corruption for once? It's sad all we hear is about issues which are not important to voters and their real...
Hivi mbona rais wa Tanzania naye hatangazi nafasi za kazi tukaapply au hao waliopo wanaendelea kuwapo ikiwa hawajachujwa kwa kiwango ndo maana wanafisadi? Hebu angalia baada ya kuapishwa Obama...
Tunapoelekea 2015; ni vema kutathmini na kuweka kumbukumbu sawa kwa Rais wetu Kikwete tangu alipoingia madarakani 2005 hadi sasa anapoelekea mwisho. Tujikite kwenye Uchumi, Miundombinu/ Ujenzi...
Ushindi wa Rais Sata (Cobra) wa Zambia, ni ishara mbaya sana kwa CCM mwaka 2015. Hii ni kwa sababu Rais Sata ana miaka 74 ambao ni mkubwa sana kulinganishwa na Dk Slaa, ambaye atakuwa na miaka 67...
Chama cha Maendeleo na Demokrasia kinakua kwa kasi nzuri sana. sera zake na viongozi wake na wabunge wengi wanakubalika kwa Jamii ya tanzania ya leo.
Kuna angalizo muhimu sana linahitajika...
Wananchi wengi wamekosa matumani na CCM na serikali yao..........wanahitaji mtu wa kuwapa matumaini mapya, japo haitaondoa shida walizo nazo lakini wahitaji mtu wa kuwapa matumaini katika hali ya...
Najiuliza mpaka Leo niwe mwanachama wa chama kipi cha Siasa kwa7bu zipi? Chama tawala mpaka Leo kina nini hasa cha kunishawishi, au Upinzani kuna Tumaini Jipya??
Wananchi wanaohudhiria Tamasha la 10 la Jinsia, wamependekeza utaratibu wa kupata wabunge kupitia majimbo , viti maalum na kuteuliwa na Rais ufutwe, na badala yake zianzishwe wilaya...
Ndugu zangu,
kuna msemo unasema, "The future is for those who prepare for it today"..
Nchi inakwenda mrama
Maisha yanazidi kuwa magumu
Ufisadi unaongezeka
Tulisikia magamba...
WanaJF
Naomba msaada wenu
Nataka kujua ni kitu gani kimejificha hapo Vcom na CCM
Kabla ya kampeni mji mzima wa DSM ulikuwa umejaa matangazo ya VODACOM
uchaguzi ulipoanza matangazo yote...
Are they really fighting for poor people or their tummies??
Binafsi nasikitishwa sana na jinsi primaries za CCM zilivyokwenda hasa ukizingatia kiasi cha pesa kilichotumika; on average at least 2...
Samwel Sitta
Shibudha
Dr Kingwangwala
Deo fulunjombe
Wasira
Komba
Lukuvi
Lusinde
Mrema
Job Ndugai
Viti maalum wote wa CCM
Chibulunje
Wabunge wote wa CCM toka Singida
Nyambari Nyangwine
waongezee...
Na Laila Abdulla,
Katika kipindi hiki cha mpito kuelekea katiba mpya,wazanzibari wanajikuta katika JAHAZI ya safari ya mwisho kutoka Dar-es-salaam kurudi Unguj.Wakiikosa safari hii, basi...
Naibu katibu mkuu wa chama cha wanainchi CUF amewasili jimboni Igunga kukagua uhai wa chama baada ya timu ya kwanza kuwepo huko zaidi ya wiki 3 sasa, Lengo ni kujipanga kwa mtanange wa uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.