Kuna habari kuwa sanamu maarufu jijini Dar itahamishwa na kupelekwa mwenge vinyago na hivyo kukuza utalii katika soko maarufu la vinyago la Mwenge,habari hiyo inadai kuwa sanamu hiyo kuwa Posta...
Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa...
Inasemekana baada ya serikali kununua hisa zote za airtel ndani ya TTCL.. uongozi wa TTCL umepanga kuanza kuuza hisa zake DSE.. kama ni kweli basi TTCL itakua kampuni ya kwanza ya simu hapa tz...
Wadau habari nilizopata kutoka Dodoma hivi punde ni kuwa siku ya Jumanne Bungeni Dodoma moto utawaka kwani kuna hoja itatolewa ya kujadili suala la Zanzibar kama suala la dharura na kuwa shughuli...
Utumbuaji majipu hautaishia serikalini, wakwepa kodi, walanguzi, wahujumu uchumi, madawa ya kulevya, meno ya tembo na wavamizi Wa maeneo yaliyotengwa kisheria tu bali hata wanasiasa laghai...
Tar..21/2/2016 kutakuwa na kamatakamata kwa wafanya biashara wadogowadogo ambao wataonekana kufanya biashara maeneo yasiyoruhusiwa.....kwahiyo me natoa rai kwa serkali kutotumia nguvu nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.