SIKU SITA ZILIZOPITA Waziri wa Kazi na Ajira, Jenista Mhagama alikutana na baraza la uwezeshaji wananchi wa Tanzania kiuchumi (NEEC) ambalo majukumu yake ni kuwawezesha wa Tanzania kiuchumi na...
Nasikia Magufuli atatumia Skype, kuhutubia siku ya Uhuru Ghana.
==========
Magufuli to address Ghana’s Independence Day parade via Skype to save travel cost
Last December, Tanzania’s thrifty...
Kuna tetesi kuwa aliekua Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma karudishwa kazini kimyakimya baada ya kubainika kuwa hakuhusika na tangazo la kuchangisha wazazi michango ya kusaidia uendeshaji wa should...
kesho ccm wanakutana na Mkurugenzi wa Jiji kupanga tarehe ya uchaguzi wa Mayor wa Jiji.
Hi ni baada ya kuwa na uhakika wa kukamatwa na kuwekwa ndani kwa madiwani Tisa pamoja na wabunge wanne...
Vigogo watano waliosimamishwa kazi kutoka Bohari kuu ya madawa (MSD) pamoja na halmashauri mbili nchini wameula katika sekta binafsi huku wakilipwa mishahara ya kuanzia milioni mbili na nusukwa...
Mimi ni muumini wa mabadiliko mimi nadhani Zitto kabwe hawezi kazi na natabiri hichi chama kutokua kabisa,Mimi nilidhani kuenea kwa chama cha ACT nchi nzima kutasaidia kujipanga na kutoa hoja...
Kuna tetesi kuwa kuna idadi kubwa ya polisi wamerushiana risasi na kusababisha idadi isiyopungua ya vifo sita taarifa zingine zinasema ni askari mmoja tu aliekufa.
Madai a mkasa huo kuna wenye...
Kuna mnyetishaji wangu amenitonya kua mwaka huu Mh Rais katka utezi wake wa Ma-RC na DC ataangalia tuu wale wenye msaada zaidi kwa Taifa na wanaojitolea kulish taifa kimaendeleo na wahatahangaika...
Kuna tetesi nimetonywa kuwa Jan Makamba hakurejesha form zote mbili tume ya maadili.Hii ni kinyume na maagizo ya WM KMK.WM alitia mkwara kuwa kwa waziri ambaye hakurejesha mpaka sa 12 atakuwa...
Nimepata taarifa kuwa Waziri Mkuu ameitisha mkutano na wanahabari saa nne asubuhi ofisini kwake Magogoni. Taarifa zinadai kuwa agenda kuu huenda ikawa ni kutangazazwa wakuu wapya wa mikoa...
Kuna Taarifa ambazo si rasmi kwamba, kamishna wa madini wa wizara ya nishati na Madini alisimamishwa kimya kimya bila habari zake kutangazwa.
Vile vile, kamishna wa Nishati wa wizara hiyo naye...
Nilikutana na mzungu mmoja kanishangaza kaniambia.
Ukisafiri kote duniani Wilaya nyingi huwa na aina mbili au tatu za pombe za kienyeji. Lakini wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjaro ina pombe za...
Kwa taarifa za ndani kabisa, ni kwamba Mwenyekiti wa wazazi wa CCM, Addalla Bulembo ambaye ni darasa la saba kielimu anatarajiwa kumrithi Kinana ifikapo May hapo Rais Magufuli atakapoachiwa...
Kuna kila dalili kuwa Spika Mstaafu, Mhe. Mama Anne Makinda kumrithi Dr. JK uenyekiti wa chama Tawala, hii inajidhirisha wazi kutokana na uzoefu wa mwanamama huyu shupavu katika medani za kisiasa...
Kuna Taarifa kwamba Mkuu wa Mkoa Wa Mwanza Bwana Magesa Mlongo, amemwangukia Mganga maarufu huko Misungwi ili Mh. Rais Amkumbuke kwenye Uteuzi wake, taarifa zinasema, mganga huyo ambaye pia ni...
Je unafikiri ni akina nani watuhumiwa Wa kwanza? Usisahau kuwa mramba na yona walifikishwa mahakani na hatimaye kufungwa ikiwa ni zaidi ya miaka 6 tangu watoke madarakani.
Tegemea baadhi ya...
Manispaa ya Temeke haijamalizia kuwalipa walimu hela za usimamizi wa mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika kuanzia tarehe 2 - 25 November, 2015. Walimu hao walilipwa hela siku 6 tu wiki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.