Habari tulizozipata kutoka Uganda zinasema kuwa tarehe 9 Aprili, 2016 Ujumbe wa Tanzania wakiongozwa na Waziri wa Nishati na Madini- Prof. Sospeter M. Muhongo, Katibu Mkuu- Prof. Ntalikwa, Naibu...
HUYU NDIYE MRITHI WA BAN KI-MOON
_________________________________________________
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa Tanzania kwa awamu ya nne (2005 – 2015) ni miongoni mwa wanadiplomasia...
Nahisi sasa ni wazi masaa na dakika za Dr. Dau (Mkurugenzi mstaafu wa NSSF) kukaa uraiani zinahesabika, baada ya habari zinazotalawa za ubadilifu wake.
Nimesikia jana Taasisi ya Kuzuia na...
Baada ya Rais John P. Magufuli kubadili na kuokoa fedha kwenye sherehe za Uhuru na Muungano,sasa Mwenge wa Uhuru uko njiani kutumbuliwa. Taarifa za kishushushu zinaonesha kuwa tayari Rais Magufuli...
Naiandika kama tetesi kwani mimi kama mimi sijafika ocean road cancer institute kuthibitisha..lakini kuna mgonjwa katoka huko wiki iliyopita na amesimulia kutozwa kiasi kisichopungua laki tano ili...
Wakati tukiwa bado tunasubiri ripoti za wizi ulifanya na kiongozi huko Nssf,tayari kuna taarifa kuwa kampuni nyingine zinazofanya kazi na NSSF zina uhusiano na Dr. Dau.
Hizi ni pamoja na kampuni...
Wanabodi
Salaam;
Kuna kikao kilikuwa kinaendelea huko alipoporwa ushindi seif sharif hamad,kuna makubaliano yamefikiwa hawa jamaa wapewe uwakilishi wa kuteuliwa.sijui lengo la kuwateua litakuwa...
Habari zenu wadau...
Kuna taarifa kuwa serikali ina mpango wa kulipa madeni yote ya walimu mwezi huu wa tatu.
Katika baadhi ya shule walimu wamepewa fomu za kujaza ili waweze kulipwa pesa hizo...
Kufuatia zoezi la kuhakiki watumishi hewa katika taasisi za uma. Baadhi ya walimu wa Manispaa ya Kinondoni waliofukuzwa kazi miaka 5iliyopita kwasababu mbalimbali juzi waliitwa kwenye zoezi la...
Niliwaambia Manji anaitumia Yanga kisiasa ili aje agombee nafasi moja kubwa hapo baadaye. Wengi wananibishia.
Manji atakagombea Udiwani, atashinda. then atakuja kugombea UMEYA WA JIJI LA DAR...
Kwa mujibu wa moja ya wafanyakazi wa tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC jina tunalihifadhi kwa usalama wake anasema kuwa idadi ya watu waliojitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa marudio visiwani humo...
Nibora uende ktk maisha yako ukimuamini Mungu nakuishi maisha Imani yako pasipo kusema dini ya mwenzako. Taifa changa kama tz ukisikia watu wanapenda kuutaja udini ktk kila kitu nilazima ujue...
Nimesikitishwa sana na unafki wa mgeja mbele ya wanamabadiliko,wiki iliyopita mgeja na baadhi makada wenzake wanne waliweka kikao cha siri kupitisha azimio kuomba msamaha warudi ccm
Hali hii...
Hii ni kwa mujibu wa Mzalendo.net Zanzibar.
Taarifa zinasema wengine wanaotakiwa kuwekwa ndani ni
Mh Mazrui
Edy Riyami
Mh Hamad Masoud ambaye leo asubuhi alikamatwa akiwa nyumbani kwake...
At finally, baada ya kufanya kazi usiku na mchana za maendeleo alizokua akizipiga Mh DC licha ya watu kumkejeli mara muuza sura, mara anajipendekeza, mara mtovu wa nidhamu lakini kwa hayo yote...
WanaJamii,
Kwanza napenda sana kuumpa pongezi raisi wa JMT Dr.Magufuli kwa kuendelea kutumbua majipu.Lakini Doc ngoja nikuambie kitu kimoja,mfumo wetu ndio issue.
1. Tunahitaji katiba mpya ya...
..huu ni mtego ambao CUF hawatakuwa na njia ya kuutegua.
..sasa hivi wanalalamika kuhusu matokeo ya majimbo ya uwakilishi ambayo walishapewa shahada za ushindi.
..ZEC-CCM watawarudishia majimbo...
Kama movie vile shikamoo dira sasa nahisi kuiamkia shikamoo
JAMIIFORUMS
BAADHI YA MAJIPU NAHSI MITANDAO INASAIDIA KUTUMBUA NA HABARI ZA USIKU HUU KUWENIWAPOLE MAJIPU KADHAA KUTUMBULIWA NDAN YA...
Kesho majira ya saa nane kamili Mzungu/Muitaliano aliyeibua ufisadi wa January Makamba akifanyia udalali rasilimali za nchi ataongea kila kitu, ikiwa ni pamoja na kutoa ushahidi mwingine wa Barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.