Wasalaam wana jamvi!
Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!
Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza...
Kutoka katika viunga vya mkutano wa CCM kukabidhiwa chama kwa Rais Pombe,
Wadau wa CCM wanaomfahamu Kinana wameweka wazi kuwa Kinana kalazimishwa kufanya kazi za ukatibu mkuu pasi ridhaa yake...
Kuelekea Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaotarajia kufanyika tarehe 23th July 2016 mjini Dodoma, tayari zipo taarifa za kuaminika juu ya Viongozi wakubwa wa Vyama vya Upinzani...
Hali ndani ya Chadema kwa waliomfuata Lowasa imekuwa ngumu baada ya kukiridhisha kuwa chama walichoenda hakina nafasi kwa wageni. Hivyo wamegundua njia muafaka ni kurejea CCM ambako kuna uhuru wa...
Zikiwa zimebaki siku 13 kufikia mkutano Mkuu wa CCM, dalili njema zinaonekana kwa Ally Mufuruki kuwa katibu Mkuu wa chama hicho akichukua nafasi ya Kanali Kinana..
Kuna uwezekana mkubwa Ally...
SIRI (CONFIDENTIAL).
Chama cha mapinduzi CCM kumeibuka hali ya taharuki, wamekuwa wakifanyiana ushushushu kila kona, na kwa kila mjumbe wa halmashauri kuu, mkutano mkuu na kamati kuu ya...
Upo uwezekano Amiri jeshi mkuu akafanya mabadiliko ktk mkoa fulani mkubwa na ili kufanya maisha yasiwe mabaya kwakusema vijana wameshindwa a genius men Polepole aweza chukua mkoa hii yaweza kuwa...
N.K/Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi
Wadau amani iwe kwenu,
Hivi karibuni, tumeshuhudia harakati kadhaa za baadhi ya wanasiasa wa ndani na nje ya CCM wakipaza sauti zao kutaka Rais Magufuli asiwe...
Habari wakuu.
Kuna taarifa kwamba Mhe Rais mstaafu Jakaya Kikwete kesho atapanda Mlima Kilimanjaro kwa mara ya kwanza kabisa toka awe Rais wa Tanzania.
Hizi ni habari njema japo inashangaza...
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi...
Joto Limezidi kupanda kwenye chama cha Mapinduzi ccm kuhakikisha bavicha hawaendi dodoma kusaidiana na pilisi kuti sheria bila shuruti wamebuni mbinu ya kizamani kutuma message kwenye simu...
Sasa ni wazi Rais Magufuli kaamua kufanya kazi na kuwapa vijana kipaumbele. Katika orodha inayotarajiwa kutajwa mwanzoni mwa wiki ijayo, kajaza vijana wengi wapya na kupiga chini wanaoshikilia...
taarifa za uhakika zinasema kampuni la kuchimba madini Glencore linajipanga kuachana na biashara ya kupitisha mizigo yake Tanzania kutokana kile kinachosemwa kuwa ni figisu-figisu za kodi...
TAKUKURU fanyieni kazi habari hizi. Kuna fununu ya kuwepo kwa harufu ya JIPU ndani ya Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika Manispaa ya Kinondoni.
Jipu lenyewe linalodhaniwa linahusisha zoezi...
GAZETI LA MSETO LAZUILIWA LISISAMBAZWE.
Gazeti la MSETO lazuiliwa lisisambazwe, hili ni Gazeti pacha na Gazeti la MwanaHalisi. Sababu za kuzuiwa kusambazwa ni kutokana na maudhui ya habari...
Wandugu kuna hizi tetesi, Serikali inajipanga sasa kupeleka Muswada wa fao la kujitoa bungeni.
Hii issue ni serious sana kwa sasa na inagusa maisha ya watu wa chini kabisa.
Mtazamo wangu kwenye...
Leo mtashuhudia maajabu ya serikali hii katika mji wa Dar es salaam
Maajabu yenyewe ni pale wanachama wa CUF wanaomuunga mkono LIPUMBA watakaporuhusiwa kufanya maandamano
Sasa mtajiuliza...
Ukiwa ni mkakati wa kuisuka CCM, Comrade Mangula atapewa nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho ili amsaidie Rais kukisuka chama. Pamoja na Mangula mwingine ni Abdallah Bulembo ambaye anategemewa...
Kuna tetesi kuwa Wabunge wa UKAWA pamoja na kususa wamekuwa wakionekana kuranda randa viwanja na maeneo ya bunge.
Wamekuwa wakiranda randa hayo maeneo wakisubiria wabunge Wa CCM wakitoka WAWAOMBE...
Achane kumjadili vibaya Mh Rais, vikao vinaendelea usiku na mchana na uwenda wakati wowote kuanzia next week vijana watarudi chuo kwa vibali maalum.
Hili la UDOM serikali ilitaka kuwapiga stop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.