Ikiwa ni kuondokana na gharama zisizo za msingi, serikali ya Magufuli inasemekana iko tayari kuanza mchakato wa katiba mpya kwa kuanza kuleta upya mapendekezo ya tume ya jaji Warioba...
Habari nilizozipata muda siyo mrefu ni kwamba, Wachunguzi wa maakama ya kimataifa (International Criminal Court) ya ICC, tayari wamefika Tanzania kwa kazi maalum.
Haifaamiki wako wapi, lakini...
Inasemekana baada ya chama CUF kutangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria wajumbe wote walioleta vurugu tarehe 21.08.2016 katika mkutano wao, hatua hizo ikiwa ni pamoja na kuwafukuza uanachama...
Je, ni kweli wadau kuwa maandamano yatokeapo hata yanapokuwa yamefuata sheria polisi huwa wanalianzisha ili kutokee mchanganyiko na wao waingilie kati na kutengeneza fursa ya kipato ndani ya fujo...
Inasemekana vijana aliovamia mkutano mkuu CUF wakishinikiza Prof, Lipumba kurudishiwa uenyekiti wamefukuzwa uanachama na kufutwa rasmi na kutakiwa kulipa gharama za uharibifu.
Vijana hao...
Miongoni mwa siri tulizozipata leo kutokana na vurugu zilizotokea jana kuwa Lipumba alitakiwa kurudi kuwa mwenyekiti na kumrushia Zengwe Maalim Seif ili afukuzwe ukatibu wa chama na yeye kufanya...
Kati ya vijana alioambatana nao Profesa Lipumba kuja ukumbi wa mkutano mkuu wapo ambao wametambulika kuwa wakati wa uchaguzi mkuu 2015 walitumika na Didas Masaburi katika uchaguzi wa kiti cha...
Taarifa ambazo ni za SIRI mno na ambazo zimepatikana kwa ugumu mkubwa sana tena wa kujitoa mhanga kutokana na unyeti wake zinasema kwamba muda wowote kuanzia sasa Uongozi wa Chama cha Demokrasia...
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake CUF imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama hicho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza...
Chadema sasa inapita ktk mazingira magumu kisiasa kuliko kawaida, taarifa kutoka ndani ya chama icho inaeleza kuwa chama icho iko ktk mgawanyiko kutokana na aina ya siasa wanazofanya. Ukitazama...
Wadau, amani iwe kwenu.
Hii sasa inaitwa kama mbwai na iwe mbwai. Taarifa rasmi nilizopata ni kwamba Rostam Aziz yupo nchini Afrika ya Kusini ambako ameamua kuweka maskani yake. Taarifa zinasema...
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba kamati ndogo ya ULINZI na usalama ( ukuta ) imetoa mapendekezo yake kwenye kamati kuu na mapendekezo ayo yamekubaliwa kuwa;
Kofia na t-shirt za kuzuia...
Ikiwa ni muendelezo wa taharuki na hofu ya serikali, jeshi la polisi mkoani Mara limeingia kwenye jaribu jingine la kutumika na serikali kuwashughulikia wanachama na viongozi wowote ambao...
Kuna Habari kuwa mkuu wa IT pale TRA ambaye Boss wake ni miongoni mwa waliokwisha kutumbuliwa ametoweka tangu juzi tarehe 8/07/2016 na hajulikani alipo.
Inasemekana aliondoka asubuhi kwenda...
Asante Rais Magufuli. Jitihada zako zinaenda kuzaa matunda kwa watoto masikini..
Baada ya lile sakata la NSSF kupiga chini zaidi ya wafanyakazi 200+ waliofoji vyeti, wiki hii TRA inatarajia...
Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri...
Taarifa nilizozipata kutoka chanzo changu cha uhakika kutoka mjini Kahama ni kuwa vigogo watatu toka CHADEMA watajisalimisha CCM wakati wa ziara ya mwenyekiti mpya wa CCM mjini humo.
Aidha licha...
Kuna taarifa nimekutana nazo mahali kuwa ingawa ITV na AZAM wali-confirm jana kuwa watarusha LIVE (Mubashara) Press Conference ya Chadema leo hii wametoa sababu kuwa hawataweza kufanya hivyo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.