Taarifa za kuaminika kutoka katika vyanzo nyeti katika chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe Freeman Aikael Mbowe yuko mbioni kujiuzulu nafasi yake...
Katibu mkuu CCM taifa Kinana anatarajia kujiuzulu mwezi Novemba mwaka huu ambapo mkutano mkuu wa NEC taifa utakaa amesema hayo kufatana na kutoridhishwa na mwenendo wanaofanyika ndani ya chama...
Muda sio mrefu madai ya wanaCCM yataibuka na kuwekwa wazi, ikiwa ni kilio na malalamiko juu ya uwezo wa Mwenyekiti wa Chama hicho ngazi ya Taifa, kwamba anashindwa kukiongoza chama, sababu za...
Unajuwa duniani hakuna kiongozi asiependa kupata suluisho la kudumu na lenye kuleta amani kwa wana nchi wote.
Tukirudi kwenye swala ka Znz kwakweli tukubaliane sote swala la Zenj ni swala zito...
Wadau kuna taarifa kwamba ofisi ya Makao Makuu ya Hifadhi ya Taifa Serengeti mkoa wa Mara zilizopo ngome ikoma au Fort ikoma makao makuu zimeungua leo, chanzo bado kinachunguzwa
Chanzo cha habari...
Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Nimekuwa nikichukizwa na kitendo cha wasomi fake kumili ofisi huku wakiwa na kiwango kidogo sana elimu huku wakijidai wasomi walio bobea kwa vyeti bandia sasa huu ujio wa uhakiki wa vyeti...
Hizi ni habar za uhakika na sababu yake ni kuwa haujaitishwa na mwenyekiti halali wa chama ambaye ni Prof. Ibrahim Lipumba. Aidha wameenda mbali zaidi na kutaka polisi izuwiye mkutano huu...
Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu (Mb), ameteuliwa na jopo la mawakili la UKAWA, kuongoza jopo la Mawakili kuwaburuza mahakamani Msajili wa Vyama vya Siasa na Prof. Ibrahimu Lipumba.Wameamua...
Habari nilizozipokea mida hii ya saa nne na kama dakika 25 kutoka vyanzo vyangu vya uhakika ambavyo viko karibu kabisa na ofisi za CUF zinasema Lipumba ameingia ofisini huku akiwa na vijana zaidi...
Kwa tabia anayoionesha huyu bwana mdogo kuna kila aina ya dalili za kutimkia CCM.Amekua mtetezi mkubwa wa serikali na Chama tawala kuliko hata Chama anachoking'ang'ania kwa sasa.
Ameanzisha...
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu...
Hatua hii kaichukua kwa madai ya kwamba anakisuka chama upya. Professor Lipumba kachukua hatua hii mara baada ya jana kurudi katika kiti chake ikiwa ni maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa...
Masaa machache baada ya JPM kutembelea kwa ghafla kwenye vyombo vya habari vya CCM na kukukuta hali mbaya ya kiuendeshaji na madeni lukuki ya wafanyakazi.
Taarifa Zilizopatikana jion hii...
Leo majira ya 2:30 asubuhi vijana wa Prof Lipumba wamefanya jaribio la kutaka kumteka MKURUGENZI WA UCHUMI NA FEDHA WA CUF ambaye ni K/NAIBU MKUU CUF BARA Mhe. Joran Bashange wakati akitoka...
Wakati mwingine sioni maana yakuanzisha thread zinazo mkashifu rais wakati ukweli upo wazi kabisa kuwa huyu meya alikuwa na mpango mchafu kuchafuwa shughuli ya kuweka jiwe la msingi kwenye madi...
Kuna uzi uliletwa humu JF siku kadhaa zilizopita ukieleza kuwa Idara ya Uhamiaji imesimamisha utoaji wa hati ya kusafiria(Passport) kwa sababu ya upungufu/ukosefu wa karatasi za kuandalia passport...
Wadau wa jukwaa hili,kumekuwepo na pitapita kwa kijana mmoja anayeitwa Charles Moremi katika vijiji mbalimbali vya wilaya ya Serengeti na kutoa misaada mbalimbali kama kuchangia madawati huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.