Taarifa zilizo tufikia kupitia vitengo vyetu vya udukuzi wa taarifa upo mpango wa kuwaondoa baadhi ya mawaziri walipo kwenye baraza la mawaziri walioshindwa kuendesha wizara zao kwa ufanisi...
Mahakama moja mjini Munich nchini Ujerumani imefungua kesi dhidi ya muasisi wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg kwa kuchochea hisia za chuki.
Muasisi wa mtandao wa kijamii wa...
Kuna taarifa zimetapakaa hapa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kwamba wabunge wote wa CCM wanaoikosoa serikali hadharani huenda wakaadhibiwa.
Inasemekana moja ya adhabu hizo ni kunyimwa...
siku moja kabla ya kuwasilishwa kwa mswaada wa sheria ya habari, jana usiku hapa ikulu kumefanyika kikao maalumu kikiongozi na viongozi waandamizi wa serikali hii kuhusu namna ya kuhakikisha...
Jeshi la polisi mkoani Arusha linajipanga kumkamata mbunge wa Arusha Mjini na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha leo usiku au alfajiri sana kesho
Taarifa za uhakika zinasema kuwa polisi...
Kuna tetesi kuwa Dau atarudishwa nyumbani muda wowote kuhojiwa na maafisa wa Takukuru .
Pia atatakiwa kuwataja washirika wake waliofanikisha ukwapuaji wa mamilioni pale NSSF
Inasemekana mkuu...
Kutokana na jaribio la kutaka kusitisha operation maalumu leo operation hiyo ilifanikiwa kukamata meno 50 ya tembo sawa na tembo 25 vilevile kukamatwa kwa jangili sugu Mpemba iliopelekea Mh Rais...
Wana jf.
Benki ya twiga bancorp yapungukiwa mtaji hasa kutokana na wadai kutorejesha fedha walizokopa benki kwa wakati na benki kupungukiwa na mitaji ya kujiendesha, hivyo serikali iliongeza...
Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu...
::KWANINI UKAWA ITASHINDA KESI YA UMEYA KINONDONI!::
#Mosi: Akidi ya kikao haikutimia. Sheria inataka 2/3 ya wajumbe wote kuhudhuria na kusaini mahudhurio ndipo mkutano upate uhalali wa...
CCM ni watata Sana kwenye mikakati kweli baada ya Program ya Lipumba kurudishwa CUF kushindwa sasa wamebadili gia angani !!
Kuna kijana mmoja mtiifu ndani ya vyama vya upinzani ndiye atakuwa kete...
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Singida kutoa taarifa ya kupingana na taarifa ya mkuu wa wilaya ya Manyoni, kuna taarifa kuwa tayari mamlaka ya uteuzi umetengua uteuzi wa mkuu wa wilaya wa Manyoni...
Masha kumrithi Mbowe uenyekiti CHADEMA.
Huu ndio ukweli japo mchungu, Mbowe utashukuriwa kwa kufanikisha yote hasa ujio na uratibu wa Lowassa kugombea uraisi lakini sasa ni wakati wenye nacho...
Hii si siri tena.
NCCR Mageuzi ni kama imeshakufa Kigoma. Mtu pekee ambaye pengine alionekana anaweza kuwakilisha chama hicho kwenye Dunia ya Mawese Ni David Kafulila. Amefanya majaribio kadhaa...
Ingawa ukimbizaji Mwenge ni jambo la kitaifa, lakini kuna tetesi kuwa mbio za Mwenge huwa ni mradi wa makada wa CCM, ambapo kila mwaka makada hao ugawana takribani bilioni 120 katika mzunguko...
Kambi ya kutafuta uongozi UVCCM taifa inayoongozwa na mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na naibu waziri wa Ardhi Angelina Mabula imepata pigo baada ya Rais kugundua kuwa kambi hiyo ilikuwa na...
Kufatana na agizo la mheshimiwa rais la kurudisha pesa za posho walizolipwa wakurungezi wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya pamoja na viongozi wa serikali wamehoji kwanini warudishe pesa hizo...
Wana - JF.
Dunia haikutegemea kumpata Rais mzalendo hivyo, sasa nchi nyingi duniani zinatamani na zinaiga misimamo na itikadi za uongozi wake, mwokozi -binadamu, dunia imepata mtikisiko wa ujio...
Kampuni ya Uzalishaji na Usambazi wa Umeme nchini (TANESCO) imesitisha malipo ya kila mwezi kwa kampuni ya kufua umeme ya IPTL na zinazofanana na hizo.
Hiyo inafuatia,pamoja na maagizo toka juu...
Kuna tetesi kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Johm Pombe Magufuli amewaita mabalozi wote wawakilishi wa Tanzaina nchi za nje kwenye mkutano utakaofanyika Ijumaa (kesho) Ikulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.