Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ni mwanasiasa ambaye anaonekana kuwa na uungwaji mkono nje na ndani ya Chama tawala, ni kwamba huyu ni kiongozi mkubwa ndani ya serikali ya awamu hii na iliyopita. Analo kundi kubwa la vijana na...
5 Reactions
76 Replies
7K Views
Kuna habari ambayo bado ni tetesi kuwa Diwani wa kata ya Kilole Korogwe Mji ambaye ni motto wa Mbunge wa Korogwe Vijijini Mh. Steven Ngonyani aka Maji Marefu ameacha Udiwani baada ya kuona hauna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa jana tarehe 04 Januari, 2017 Katika ofisi za gazeti la Tanzania Daima kulikuwa na patashika Nguo kuchanika. Kwa mujibu wa mdakuzi wa taarifa hii, chanzo cha patashika hiyo...
7 Reactions
172 Replies
19K Views
Zipo video zipo kwenye mitandao ya you tube zinashawishi wananchi kufanya fujo kwenye kesi ya lema ikiwa Lema hata achiliwa. Ktk video ile wamesikika msemaji akusema kwa kumanisha WATAFUNGULIA...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Nimejaribu kufuatilia uvumi wa Serikali kuanza kujipa tenda mbalimbali zikiwemo za ukandarasi 1.kuna zile Hostel za Udsm Serikali imejipa tenda yenyew.... 2.Kuna ujenzi wa NHC nako...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Tetesi kutoka Lumumba na Dodoma ni kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi nchini Bw.Abdallah Bulembo amekalia kuti kavu.Hii ni siku chache kabla ya mwenyekiti mpya wa CCM kushika kiti . Tetesi...
2 Reactions
112 Replies
21K Views
Wakati utawala huu ukisisitiza kuwa elimu hadi ya kidato cha nne inatolewa bure, Hali Ni mbaya ktk wilaya ya ilemela Na kupelekea kusimamishwa kazi Kwa afisa elimu wa manispaa hiyo. DC Na DED wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Saa nyingne ili ufanikiwe unahitaji kuwasikiliza maadui zako pia na uchambue kile wanachokisema, wana jamvi napenda kuwauliza je? Ni sahihi kuona kila anachosema mpinzani wako ni kosa?? Nipo na...
1 Reactions
1 Replies
696 Views
Kuna taarifa ambazo bado ni tetesi kuwa Mkoa wa Mara unategemea kugawanywa na kuwa mikoa miwili, Taarifa zinasema, kutakuwa na Mkoa wa Mara kaskazini na Mara kusini, hali kadhalika, wilaya kadhaa...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
Hizi tuhuma ni kweli kuwa mbunge aliyetoa maono hatatoka mahabusu hadi bwana Mwafaa aamue? Muhimili wa sheria ushakuwa chini, nani atunasue?
0 Reactions
2 Replies
572 Views
na underson ndambo. Taifa la Marekani linatarajia kushusha rungu la aina yake kwa serikali ya Tanzania kufuatia hali ya sintofahamu inayoendelea nchini kutokana na sakata la uchaguzi mkuu wa...
21 Reactions
262 Replies
21K Views
Nawaza tuu , sababu ya kamati ya maafa kuvunjwa wakati michango ya wadau walio ahidi haijamalizika kukusanywa? Kuna ubaya gani kama kamati ingeendelea kukusanya na kuratibu shughli zote za...
0 Reactions
7 Replies
978 Views
NA SISI SPECIAL DIPLOMA TUNAELEKEA DODOMA 23. Tunapenda kuwashukuru wazazi na wabunge wote ambao waliotusapoti katika kipindi kigumu cha kuondolewa katika masomo yetu. Vile vile tunapenda...
12 Reactions
111 Replies
47K Views
Bank ya standard chartered ya hong Kong uenda ikaifilisi TANESCO. Ni baada ya kuiomba mahakama TANESCO isitishe kwanza kuilipa IPTL mpaka pale itakapoilipa bank hiyo kiasi cha bilioni 320...
17 Reactions
139 Replies
14K Views
Amani itawale wana jf wote. Imezoeleka kuwa kila baada ya miaka mitano ya awamu ya kwanza kwa kila rais anayeingia madarakani kupitia CCM huwa wanautaratibu wa kumwachia tena amalizie awamu ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Uonngozi wa juu wa TBC na wafanyakazi wengine wa kituo hicho usiku wa kuamkia leo wamefanya kikao cha dharura kuangalia sababu za kudorora kwa kituo hicho kikubwa cha TV ambacho kimemalizika saa...
56 Reactions
642 Replies
71K Views
Heshima yenu wakuu wa jukwaa hili, pia heri ya krismass na mwaka mpya. Nchi zetu za kiafrica, zinazoongozwa na viongozi ambao kwa hiyari yao hawako tayari kuachia madaraka kwa amani. Ni nchi...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Heri ya x mass wote. Habari za mtifuano ndani ya shirikisho la vyuo vya elimu ya juu mkoani kilimanjaro (CCM) za vuja, Kama mnakumbuka katibu mkuu wa shirikisho(ccm) DANIEL ZENDA akiongozana na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nccr Mageuzi kuna taarifa kuwa wengi WA wanachama wao wanatokea Rwanda na Burundi, na ndio maana ukijiunga hukawii kuzushiwa mkimbizi. Inasadikika wengine waligombea na ubunge. Chadema kuna...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
KUMBE WAZIRI MKUU AMEINGIZWA KWENYE MRADI WA KITAPELI ARUSHA. Siri imefichuka kuhusiana na pikipiki 200 zilizogawia kwa vijana wa Arusha, mwishoni mwa wiki iliyopita WAZIRI MKUU Majaliwa K...
8 Reactions
57 Replies
7K Views
Back
Top Bottom