Taarifa za kunyapia nyapia zinasema mambo ndani ya Shirika la NHC sio shwari. Pamoja na JPM kuonekana ana mahaba na Mchechu na anafurahishwa na kazi yake mambo inasemekana sio shwari kwa baadhi ya...
Kumezuka kundikubwa la wafitin na wazandiki ktk serikali ya Magu. Kiukweli tunajuwa huu ni mpango ulio sukwa na kundi la watu fulani ambao naweza kuwaita wapiga deal. Kila unapofu gua mtandao...
Jamani tafadhali sana, Msiihusishe na CCM pale matamko uchwara yanapotokea. CCM Ipo makini na Serikali yake bila kubagua ni Chama gani. Na inatenda haki kwa kila mtanzania.
Niombe tu Serikali...
Ndugu Christofa Sendeka kateuliwa kuwa RC Njombe. Huyu alikuwa Msemaji (Afisa Habari na Uenezi wa CCM Taifa). Nafasi hiyo sasa i wazi. Itajazwa na Mwana CCM siku za karibuni. Hii itakuwa kabla ya...
Ikiwa ni miezi michache kabla ya kura ya kumchagua mbunge mpya wa Arusha mjini CCM imeanza kujidhatiti vyema katika jimbo hilo ambalo inalitamani kwa muda mrefu.
Wananchi pia wanaonekana wanaunga...
Habari nilizozipata ni Mzee wa Msoga kapewa tender ya kusambaza Cement ya Dangote nchini Kongo.
Hii imekuja kama shukrani kwa kuwapatia eneo mkoani Mtwara na kuwatengenezea mazingira mazuri kwa...
Wana jamvi
Tumekua na mahitaji mengi mno hasa ya uwekezaji na viwanda, kuboresha elimu nakadhalika kutokana na kauli tata juu ya hilo nabashiri kuna uwezekano mkubwa, mmoja ya watendaji...
Kada maarufu na aliyewai kugombea ubunge kwenye kura za mchujo kupitia Chama Cha Mapinduzi jijini Arusha Thomas Munisi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa kata ya Themi jiji la Arusha ameingia...
Wana JF,
Kutokana na safari ya kikazi alioifanya Mh Rais katika magereza jana Ukonga na kubaini yafuatayo;
1. Askari magereza kununua sare za jeshi lao kwa watu binafsi
2. Jeshi la magereza...
Kutokana na habari zilizodhibitishwa. Ni kuwa TATIZO la kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Cement ni zaidi ya yale tunayoambiwa.
Habari hakiki toka menejiment ya kiwanda na source kutoka ndani...
Wadaiwa sugu benk ya Twiga Bancorp iliyochukuliwa na BoT wanaendelea kuhenya na kuhenyeshwa mitaani, imefahamika. Watu hawalali, watu hawanywi na watu hawali!
Zipo taarifa nyeti kutoka vyanzo vya...
· Siku 10 kabla ya kufunga kongamano la Diaspora, siri nzito ya Rais Magufuli yafichuka hadharani hapa
Zanzibar!
Habari zisizokuwa za kuaminika na ambazo bado ni tetesi tu mpaka hivi...
Kazi ya kukusanya kodi za maegesho manispaa ya ILALA ambayo meya wake na naibu meya ni UKAWA wameipa kampuni ya Kenya airports parking service ya kenya ambayo haina usajili Tanzania.Hivi hizi kazi...
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa
1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa
2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.
Ni kutokana na mkuu analalamika mambo...
Watuhumiwa wa kesi ya Uhujumu Uchumi, mauaji ya tembo 85, wameachiwa kwa dhamana katika namna inayotia shaka. Hapa ijulikane kuwa kesi za aina hii hazina dhamana.
Wazalendo tusimame imara.
Hii inasemekana kuwa in mbinu ya ku-buy time na kuzubaisha watu. Maana mazoezi yanayoweza kufanyika pamoja yanapewa awamu.
Watumishi hawana tena imani wala morali ya kazi. Hawatamani hata kusikia...
Viongozi wa UVCCM wameagizwa na viongozi wa CCM kupita kila chuo kuorodhesha wanachuo waliokosa mkopo ambao ni wana chama wa CCM
Zoezi hili linafanyika kwa siri, ili wanafunzi wasio wanachama wa...
Naomba ombi hili limfikie raisi wetu Mh. John Pombe Magufuli.
Kesho Jumatatu Raisi wetu ataanza ziara ya siku mbili ya kiserekali nchini Kenya na atatembelea viwanda mbalimbali ikiwemo kiwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.