Kama tu tungekuwa na BUNGE IMARA nchi hii ingeweza kusimamiwa kikamilifu kuweza kuyashinda mabaya inayoyakabili miaka nenda rudi.
Wabunge kadhaa wenye uchungu na nchi hii inasemekana wamenza...
Na; Joseph Monia Politician
TAHADHARI KWA WANA CHADEMA WOTE WANAOTUMIA MTANDAO WA WHATSAP.
TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HII.
Tumepokea taarifa ya vijana wa CCM (Lumumba) kuunda njama za kuanzisha...
Kiongozi wa Mkoa anayesemekana kutumia jina lisilo lake ameandaa ziara ya Waandishi 10 watakaondoka kesho kuelekea Mkoani Mwanza. Waandishi hawa watakuwa na kazi maalumu Jijini Mwanza, katika...
Kuna tetesi kuwa "Mamlaka kuu" imezuia ndege ya kufanya utafiti wa kutafuta mafuta katika visiwa vya Zanzibar.
Inasemekana Rubani wa ndege hiyo alisema walishindwa kuanza kazi kutoka na kuzuia...
Kuna tetesi kwamba wanasheria wote wa serikali wanaofanya kazi Tamisemi watafundwa kesho "jinsi ya kuchagua" na kuna tetesi kwamba wataambiwa wasiwachague wagombea Fulani
Chondechonde,kura ni...
Wasalaam Wana jamvi, nimejaribu kufanya utafiti wangu kwenye maagizo, ama matamko mengi yanayo tolewa na viongozi wetu kwa Sasa yamezaa matunda ktk idara nyingi na taasisi nyingi. Kwa mfano, lile...
Mimi ni mchoma mahindi wa huku kwetu Unyanyembe, katika kona moja ya mtaa mkubwa unaotokea kituo kikuu cha mabasi yaendayo DSM
Upeo wangu kielimu ni darasa la Saba "B" katika shule moja huku...
Hi wanabodi!!!
Nimepenyezewa ujumbe wa karibu kutoka singida kuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo ametoa kusudio la kuwatimua kazi watumishi zaidi ya 20 kwa tuhuma za kufoji vyeti vya kidato cha nne...
Amani iwe kwenu,
Jf 4ever,
Taarifa za chinichini zinatanabaisha kuwa wale vijana watatu( tatu bomba) toka chama cha kijani, Tayari wameshaanza kujidhatiti ndani na inje ya chama chao ili...
Taarifa hizi zilipatikana kipindi cha kama mwezi mmoja hivi na juhudi za kutaka kuthibitishwa zinaendelea. Tetesi zinadokeza kuwa Kutokana na hali ya nchi ilivyo maamuzi magumu yanahitajika na...
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya...
Taarifa za ndani za CCM ni kwamba mpaka sasa kumetokea mgawanyiko; wapo wanachama na baadhi ya viongozi wa CCM ambao wameunga mkono madai ya wananchi kuzitaka mamlaka zihakiki tuhuma dhidi ya Kada...
Hivi Ben Saa8 kashapatikana...Vp kuhusu Njaaa nayo ishaakwishaa au bado ipo...Na vipi kuhusu Dikteta kaacha udicteta au anaendeleza na Ile Elimu ya Mkuu wa Nchi hii iliyogeuzwa agenda ya Kitaifa...
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ndiye mmiliki mpya wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo.
Manji alinunua kampuni hiyo mwishoni mwa mwaka 2014 na kumalizia malipo mwanzoni mwa mwaka 2015 na...
Kule USA, ma rapper ambao ni black Americans wanaongoza kwa misukosuko, na kufungwa kwa tuhuma mbalimbali. Sababu zikihusishwa kati ya either uhalifu ama ubaguzi(racism).
Hapa tizedi, wanachama...
Inasemekana kuwa serikali inaweza kuwa na mpango wa kuzirudisha shule za vipaji maalumu hasa kwa kuboresha zile zilizopo na kujenga nyingine kila mkoa ili kulinda na kukuza vipaji vya watoto wa...
Kama ilivyo nakujaga na info za kutokea kule mkoani kwetu Mbeya. Kuna taarifa nyeti toka kwa watoa hizi taarifa kuwa Jimbo La Rungwe litagawanywa mara mbili.
Kumbuka miaka michache tulikuwa na...
Nichukue fursa hii kumpongeza mhe Zito Z. Kabwe mbunge wa kupitia ACT wazalendo kwa kuwa mjanja kuwakwepa Polisi baada ya mkutano huko Isagehe Kahama Shinyanga. Kuna mambo machache ya kujiuliza...
Naam jicho la tatu limeshachungulia wanaChadema kindai ndaki wameshaamka sasa ni wazi wazi wantamka maneno makali yenye kuonyesha kutoridhishwa na uwepo wa Lowassa ndani ya chamn na upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.