Wakuu,habari
Taarifa za uhakika kutoka jikoni,ni kwamba hali si shwari kabisa hasa kwa watuhumiwa upande wa pili yaani ile bank ambayo kila mtu kuanzia kamati ya bunge iliogopa kutaja orodha yao...
Wakuu kazi haitakuwa ya Kitoto na tunatakiwa tuandae jopo letu la wataalamu na wanasheria vichwa n'a makini sana. Inasemekana Bodi ya Ushauri ya Kimataifa itakuwepo katika mazungumzo yajayo kati...
Wakuu
Nakumbuka wakati waziri wa Fedha, Dr Mpango anasoma bajeti, kipengele kilichoshangiliwa sana kuliko vyote ni habari ya kufutwa kwa kodi ya motorvehicle
Wabunge hasa wa CCM walishangilia...
*Hali si hali Jiji la Arusha*
Hali ya mambo katika halmashauri ya Jiji la Arusha inaonekana kuwaendea vibaya madiwani wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao ndio wengi katika baraza la...
Kwa Hali Hii Mikataba Mibovu Isipite Kweli?
Wakati wenzake wanajadiliana kwa hoja, yeye kauchapa usingizi totoro. Halafu bado akataka kurudi tena bungeni. Na mtu kama huyu si ajabu akajiita...
Kufuatia kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye pia ndiye rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli kuwa kazi ya urais ni ngumu sana kiasi kwamba anajuta kwanini aliiomba...
Hatimaye General Manager wa MGODI wa ACACIA BULYANHULU Bw Graham ameacha kazi katika mgodi huo na kukimbia nchi. Hili limetokea masaa machache baada ya kutangazwa kuwa kamati ya Rais ya wachumi na...
Hizi ni habari za uhakika za ndani kabisa kuhusu kuacha kazi kwa Majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa mkuu Wa Mkoa wa Kilimanjaro
Ukweli ni kuwa...
Tanzania ina idadi kubwa ya mashirika ya umma yapo ya kiserikali na ya binafsi.
Mashirika haya kwa kiwango kikubwa hutegemea sana utendaji mzuri na uwajibikaji bora kwa ngazi ya vituo vyake vya...
Baada ya kugundulika kutaka kutumia jina la baba yake kuanzisha chama kipya Visiwani Zanzibar baada ya kuona nafasi ndogo kwake kuweza kugombea urasi wa Zanzibar 2020 sasa wanaharakati wa Balozi...
NRA WAMLILIA PHILEMON NDESAMBURO MICHUZI BLOG: NRA WAMLILIA PHILEMON NDESAMBURO
MSIBA HUU SIO KWA chadema pekee ni pigo kwa wanamageuzi wote na wapenda demokrasia wote
Baaada ya Hamadi Rashidi, Mrema na Sasa Kitila, kuna uwezekano mkubwa Rais wetu akaendeleza nia yake ya kuwashirikisha wapinzani katika serikali yake na kwa mantiki hiyo zitto atakuwa miongoni mwa...
Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo...
Katika hali yoyote ni lazima tuwapongeze askari wetu Tanzania kwa kufanya kazi nzuri sana ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Yapo makosa madogo madogo na makubwa yanaweza kuchafua Taswira...
Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai:
1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda...
UWAZI WA MAKONDA STAR TV SIRI HII HAPA NJE NDANI!
Baada ya Paul Makonda hali yake kisiasa kuchafuka kutokana na matendo yake hivi karibuni alikuja Mwanza na kubaini kuwa kwa sasa amepoteza...
The word from Magogoni is Kamanda hataki mambo ya waste ya kusindikizwa na na kupokelewa na msururu wa waheshimiwa ambao wanaacha kazi kumsindikiza na kumpokea.
Hoja yake ni kuwa kuna kuwa huu...
Kuna tetesi kuwa madudu ya mkataba kati ya TBC na startimes kwenye utumizi wa mitambo yataanikwa soon.
Hawa wachina wajiandae kisaikolojia tu
Inafurahisha sana wachina zamu yenu ya kunyooshwa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Humphrey Polepole amesema kuwa ni ruksa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) kutumia ukumbi wao wa mikutano maarufu kama 'Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.